Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vitengo rasmi ni huwa baada ya wote kumaliza pori. Ule mwezi mmoja wa maandilizi ya kupass out ndio kuna kuwa na vitengo official. Kabla ya hapo watu huwa wanajiongeza wenyewe tu kupunguza makali ya course. Kwa mfano pale kuna Hospital inahudumia Raia wengi tu so madaktari na wataalamu wa huwa wanasaidia kutoa tiba inakuw kama tengo Lao 😂. Pia watu wa mifugo wanasaidia huko ilipo...mafundi/ maengineers n.k
Mkuu na hizi degree zngne walizohitaji inamaana mkimaliza coz mnatupwa kwenye vitengo vyenu au inakuaje mkuu hapo
 
Chakula cha jioni ni saa 12 jioni. Ukimaliza kula hapo ni utawala wako binafsi utajua mwenyewe kama utalala au utakuw unafanya nn. Ila saa 6 usiku kuamka siku inaanza. Porini kulala ni saa 4 usiku kuamka saa 11 asubuhi.
Six week zinakuaje?
na kumbuka Jkt six week zao huwa sio poa...
Huko hamna kufoleni usiku ..
 
Vitengo rasmi ni huwa baada ya wote kumaliza pori. Ule mwezi mmoja wa maandilizi ya kupass out ndio kuna kuwa na vitengo official. Kabla ya hapo watu huwa wanajiongeza wenyewe tu kupunguza makali ya course. Kwa mfano pale kuna Hospital inahudumia Raia wengi tu so madaktari na wataalamu wa huwa wanasaidia kutoa tiba inakuw kama tengo Lao 😂. Pia watu wa mifugo wanasaidia huko ilipo...mafundi/ maengineers n.k
Walimu kitengo chao vp?
 
Watu wanaongea humu utasema wamepiga depo la CCP na kiwira.

Niwaulize tu lini mliwahi kuona askari magereza yupo operation yoyote mfano ile ya Kibiti au Mtwara?[emoji1]
Ndio mjue sasa PT ni baba lao hata huko CCP mziki wao si wa kitoto. Operation zote za ndani ya nchi hadi nje wanaenda Jw na PT.
Hapa tuwekane sawa nature ya majukumu ndii yanayo halalisha uhusika kwenye tuki katika Home affair ni PT tu ndio chombo kinacho wagusa au raia moja kwa moja.
Huvyo hapo MT hawezi ingia kirahisi labda itikee tu special issues.
Outside mission now baazi ya issues MT PT pia japo si mara kwa mara..

Mtazamo..
 
Dah sikuwah ona kwa walimu mkuu....Nadhani sio kila degree inatengo. Kwa kule wataalamu wa afya, ITs, Engineers , mafundi bomba, watu wa records...bendi....wataalamu wa mifugo....ukiwa mwepesi unakamata nafasi
Mtu ukikitaka kitengo cha FFU unafanya ujanja gani kukipata
 
Vitengo rasmi ni huwa baada ya wote kumaliza pori. Ule mwezi mmoja wa maandilizi ya kupass out ndio kuna kuwa na vitengo official. Kabla ya hapo watu huwa wanajiongeza wenyewe tu kupunguza makali ya course. Kwa mfano pale kuna Hospital inahudumia Raia wengi tu so madaktari na wataalamu wa huwa wanasaidia kutoa tiba inakuw kama tengo Lao [emoji23]. Pia watu wa mifugo wanasaidia huko ilipo...mafundi/ maengineers n.k
Unakipaje kitengo cha ffu
 
Unakipaje kitengo cha ffu
Chief tofautisha vitengo vya CCp wakati wa mafunzo na vitengo vya kazi mnavyopangiwa baada ya makao makuu kuwaanalyze mwishoni mwa mafunzo.Hapo juu mkuu @Dystonia kaeleza vitengo kipindi cha mafunzo kwa nilivyomuelewa. Hakuna kitengo cha FFU kipindi mafunzo yanaendelea. FFU ni kitengo rasmi cha kazi baada ya mafunzo kuisha.
 
Nilikuwa sijampata apo sasa fresh
 
Back
Top Bottom