Fungu Fanta unywe ni Kikosi Maalum uwez jipeleka. Zaid ni wakat mko uwa kuna special team ya ufuatiliaj wao ndio wana assing nani na kwa nini. Fitness yako nidham Utiif n.k
Saiv chuo cha uhamiaji kilichopo boma wanakiita Raphael kubanga😆😆Boma kichaka miba [emoji3578]
Mkuu kwa nini unapenda ffu ?Unakipaje kitengo cha ffu
Mkuu na sisi watu wa Finance hamna vitengo [emoji28][emoji28]?..
Maana sio poa.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh msija mkaulizwa kwenye usaili ikala kwenuSaiv chuo cha uhamiaji kilichopo boma wanakiita Raphael kubanga😆😆
Oya ndege tai kaka unanikumbusha mtabila 825kj wakuu tulikuwa tunadoji shamba, sasa captain shamba bwana alikuwa anaandika watu waliokuwa wanaenda shamba kila coy ili mradi akamate wale wasioenda awadosoe, sasa sisi coy yetu karani wetu alikuwa pisi muda wa rokoo ukifika anauliza nani ambaye hajaenda shamba anamuandika jina pembeni, bwana shamba akija anakuja na karatasi yake ya majina sasa alikuwa anajichanganya kumpa karani ile karatasi ya majina, alichokuwa anafanya yule karani alikuwa anachanganya kuita majina, oy huwezi amini hakamati hata mtu mmoja akirudishiwa karatasi yake ya majina akiangali walioenda shamba ni watu 30/tu na rokoo tupo watu zaidi ya 60, daaah hahahahaha mwenyewe alikubali mziki wetuJkt nilikua natimia kila kazi nipo hadi parade...shida ilikuwepo shambani sijawah enda kulima wala kuvuna mwendo wa kudoji hata iweje huwez nikuta shamba ,kule kigoma ardhi ngumu mno aise
😆😆Eeh msija mkaulizwa kwenye usaili ikala kwenu
Iyo ratiba ya kulala uwa ni miezi yote 9 ya kozi au kipindi tu kifupi?Chakula cha jioni ni saa 12 jioni. Ukimaliza kula hapo ni utawala wako binafsi utajua mwenyewe kama utalala au utakuw unafanya nn. Ila saa 6 usiku kuamka siku inaanza. Porini kulala ni saa 4 usiku kuamka saa 11 asubuhi.
Muda wote wa course except wiki za mikeshaIyo ratiba ya kulala uwa ni miezi yote 9 ya kozi au kipindi tu kifupi?
Doso muhimu. Askari unaogopa doso? Doso ni mazoezi tuMkuu mkesha unakuwa ukisindikizwa na madoso au mwendo wa chenja tu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jwtz 6week za mwanzo hamna kazi yako kunyoosha shuka tu yaan jua linakuchomozea ukiwa unakula kazi(HAKUNA KULALA),Je PT vipi muda gani kitanda kitakuwa hakina maana kwako?Muda wote wa course except wiki za mikesha
Hamna poti,sema nazikubali sana chenja.Doso muhimu. Askari unaogopa doso? Doso ni mazoezi tu