Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Tega mitego mbalimbali
Mkuu na sisi watu wa Finance hamna vitengo [emoji28][emoji28]?..

Maana sio poa.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app


Document 5_1.jpg
Document 5_1.jpg
 
Jkt nilikua natimia kila kazi nipo hadi parade...shida ilikuwepo shambani sijawah enda kulima wala kuvuna mwendo wa kudoji hata iweje huwez nikuta shamba ,kule kigoma ardhi ngumu mno aise
Oya ndege tai kaka unanikumbusha mtabila 825kj wakuu tulikuwa tunadoji shamba, sasa captain shamba bwana alikuwa anaandika watu waliokuwa wanaenda shamba kila coy ili mradi akamate wale wasioenda awadosoe, sasa sisi coy yetu karani wetu alikuwa pisi muda wa rokoo ukifika anauliza nani ambaye hajaenda shamba anamuandika jina pembeni, bwana shamba akija anakuja na karatasi yake ya majina sasa alikuwa anajichanganya kumpa karani ile karatasi ya majina, alichokuwa anafanya yule karani alikuwa anachanganya kuita majina, oy huwezi amini hakamati hata mtu mmoja akirudishiwa karatasi yake ya majina akiangali walioenda shamba ni watu 30/tu na rokoo tupo watu zaidi ya 60, daaah hahahahaha mwenyewe alikubali mziki wetu
 
Chakula cha jioni ni saa 12 jioni. Ukimaliza kula hapo ni utawala wako binafsi utajua mwenyewe kama utalala au utakuw unafanya nn. Ila saa 6 usiku kuamka siku inaanza. Porini kulala ni saa 4 usiku kuamka saa 11 asubuhi.
Iyo ratiba ya kulala uwa ni miezi yote 9 ya kozi au kipindi tu kifupi?
 
Sema kitengo cha mbwa na farasi kimekaa poa sana nasikia.

Ukiwa katika hiki kitengo at least mtu unakuwa unapata muda wa kulalia mgongo.

Master parade sio poa..maana ni mwendo wa kujira tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom