Nakubali Mkuuππ maisha yana tuforce hakuna namna unakuta we ndio tegemezi ktka familia hakika uwezi kuwa na chaguz chamsingi mkono uzame mfukon...Graduates wengi ni number 3
Wanaingia jeshini kwa sababu ni vile watafanyaje maisha magumu ajira hakuna za zile fani waliosemea sio kama wanalipenda jeshi
Wengi wao ni mujibu wa sheria ,[emoji3].
Yule alienda kujitolea anajua nini anatafuta toka mwanzo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Daaah kwata bhana inahitaji uvumilivu, nakumbuka tulikuwa tukipewa 5 yaani pale pale jua jua kali kmmk lkn usingizi unakuja hapo hapo daah
Hahahahahaha nimejikuta nacheka kinomaMimi ningeenda huko wangenitimua kwa uchafu maana pasi nimepiga baada ya kwenda interview yangu ya kwanza. Hata suruali za vitambaa nimeanza kununua baada ya kumaliza chuo maana nilijua tu nitaitumia kwenye ajira na kazini sijawahi piga pasi kwanzia msingi mpka sekondari hata chuo .
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani kwata sikuwahi kuipenda ndio maana nilikuwaga k.oDaaah kwata bhana inahitaji uvumilivu, nakumbuka tulikuwa tukipewa 5 yaani pale pale jua jua kali kmmk lkn usingizi unakuja hapo hapo daah
Yaani seriously yaani mimi uniambie suruali iwe na panga kwanza huo upanga kwanza sijui nautoa vipiHahahahahaha nimejikuta nacheka kinoma
Tengo jingine la kula nchi ni chamber master,vyoo vikijaa wapo tayari wakutoe hata kwenye kipindi ili ukafukue mitaro ya mavi ukitoka hapo utawala.Daaah nimeelewa!! Je hamna Tengo la Jikoni. Kuandaa misosi? Maana nje ya taaluma wengine ndo side hustle..
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo πππ suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...Pasi suruali iwe na upanga hapo ushanipoteza [emoji3][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
K.o kazi za ovyo ovyo kwahyo ulikuwa unajila sana shambaYaani kwata sikuwahi kuipenda ndio maana nilikuwaga k.o
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha kwahyo kidole kikipenya unakula dosoNyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo πππ suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati πππ Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
Sisi watu wa kikosi maalumu kaka
Hhahaha na ule uwanja wa kwata MTABILA una vumbi mnooo...nilikua sipendi kuzima moto sana yan maprivate wanawasha moyo misituni halfu wanatupigia filimbi tukauzimeDaaah kwata bhana inahitaji uvumilivu, nakumbuka tulikuwa tukipewa 5 yaani pale pale jua jua kali kmmk lkn usingizi unakuja hapo hapo daah
Hapo kwenye kuchomekea sasa..mm nikichomekea mashine inaonekana kama imesimama kabisa...yan mtu akiniona ataona jamaa amesimamisha π πNyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo πππ suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati πππ Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
Oyaaaa kaka ule sio uwanja ni li uwanja, hapo kuwasha moto ni na kuzima ni mafunzo pia, daah mkizima huku wanawasha huku kmmk mnajikuta mnakesha kuzima moto mpk jioni, na moto wenyewe kuzima na matawi ya majani ukitoka hapo hutamaniki, , bustani inakusubiri, bado hujafagilia maua na kumwagia majikipindi hiko jua kama loteHhahaha na ule uwanja wa kwata MTABILA una vumbi mnooo...nilikua sipendi kuzima moto sana yan maprivate wanawasha moyo misituni halfu wanatupigia filimbi tukauzime
Mm kazi zingine nilikua nadoji ila kwata siwezi doji kabisa maana itajulikana tu ...nafasi yangu ilikua kuongoza guard number 3Oyaaaa kaka ule sio uwanja ni li uwanja, hapo kuwasha moto ni na kuzima ni mafunzo pia, daah mkizima huku wanawasha huku kmmk mnajikuta mnakesha kuzima moto mpk jioni, na moto wenyewe kuzima na matawi ya majani ukitoka hapo hutamaniki, , bustani inakusubiri, bado hujafagilia maua na kumwagia majikipindi hiko jua kama lote
Kwa kuwa ulikuwa unapenda hv mlimkutaga yule mabula mtMm kazi zingine nilikua nadoji ila kwata siwezi doji kabisa maana itajulikana tu ...nafasi yangu ilikua kuongoza guard number 3
Mabula yupi nikumbushe ?....sisi kombania yetu bravo parade tulikua na sudi jamaa mmoja mweusi mrefu anapiga kwata makini sana..ukiwa nanga wa kwata anakuja kukukiss kabisa na hataniiiKwa kuwa ulikuwa unapenda hv mlimkutaga yule mabula mt
Mabuka sana sana yupo kwenye kufundisha vitala...huyo sudi namjua ni kweli ndio tabia yake hyo mwamba hakopeshi, utasikia sogeza shavu daah kmmk unajikuta huna ujanja unampa shavu anakupiga busu na hyo ndo huwaga coy yake pendwa bravoMabula yupi nikumbushe ?....sisi kombania yetu bravo parade tulikua na sudi jamaa mmoja mweusi mrefu anapiga kwata makini sana..ukiwa nanga wa kwata anakuja kukukiss kabisa na hataniii
Nanga alikua anawaparua usoni na mikono nilikua nawacheka sana mananga
K.o kujila labda utake weweK.o kazi za ovyo ovyo kwahyo ulikuwa unajila sana shamba