Mkuu utupunguzie scale aisee.safi dogo, njoo tukupe ukamanda ndio kazi yetu sisi
Ameuliza kwaiyo nimemjibu kiuhalisia ulivyo usipende ligi.Unajuaje kama ana connection kubwa ?
Unaweza sema jamaa hatoboi alafu akatoboa na wewe ukabaki.
Kimsingi tusubiri tu pdf tuache maneno haya.
Soon πsafi dogo, njoo tukupe ukamanda ndio kazi yetu sisi
Hakuna ligi nimesema pia uhalisia uliopo.Ameuliza kwaiyo nimemjibu kiuhalisia ulivyo usipende ligi.
haina haja ya kulumbana makamandaHakuna ligi nimesema pia uhalisia uliopo.
kuna mmoja alituibia lonja ya lini pdf ya uhamiaji inatoka. na alikua mtafutaji mwenzetu,watu wako jikoni sana mkuuMwaka jana kuna mtu wakuitwa Choo cha kulipia alikuwa akitupa lonja hadi dk ya mwisho
Msije sema sikuwaambia
Ukiona miamba hiyo badili njia kabisaView attachment 2462659
Hawa hali inaweza ikawa mbaya muda wowote ....ππππMsije sema sikuwaambia
Ukiona miamba hiyo badili njia kabisaView attachment 2462659
Anaitwa rusuhi huyo captainHuyo sharobaro mweupe hivi....wapo hapo sio kwa adhabu ..kuna captain mmoja kama unamkumbuka alikua black hv smart sana anapenda kutumia neno "brothers" huyo captain ndio alituambia makomandoo wapo pale kwasababu hizo kambi zipo mipakani na ilikua ya wakimbizi ..wapo pale kwasababu za kiusalama
Bado namtafuta ukimuona mtagkuna mmoja alituibia lonja ya lini pdf ya uhamiaji inatoka. na alikua mtafutaji mwenzetu,watu wako jikoni sana mkuu
yupo kwenye uzi wa zamani ule wa uhamiaji wenye post 470 mkuuBado namtafuta ukimuona mtag