Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Guys hali ni tete sana mtaan, especially kwa tusio na connection kabisa, sasa JF ndo naiona kama connection yangu, ombi langu kwa wenzetu mliopo chomboni tayari kama kuna namna yoyote mnaweza kutushika mkono au kutulengesha kwa mtu anayeweza kuwa msaada plz msisite kufanya hivyo... Maana ni balaa..Asante
Naomba kuwasilisha..
 
Ndo nikwamwambia jamaa akae kwa kutumia maana mambo haya yana mengi sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu, wakuu hebu tuishi na haya maneno asee tushikane mikono wakubwa
 
Dah kuna route moja aliiongoza yule mzee wa push up mwamba Janu tulipanda milima asee sitaisahau ile ila nilijipush sana kuwah kufika. Waliochelewa walikula kazi sio poa.

Ukiingia CCP habari za Jkt au kufanya comparison za ajabu na JWtz uziache kabisa yani.
 
Wakuu ni kweli kitaa pagumu mno hasa kama hauna ishu ya kukuingizia kipato...najua watu humu tumetofautiana kwa asilimia kubwa, kuna watoti wa vigogo humu wa watu wazito japo sio rahisi kuwajua na wao kujitaja, kuna wenye ajira kutoka vyombo mbali mbali, kuna wenye connection za kazi mbali mbali, ni kweli kuna muda saikorojia inapotea kichwani hasa sisi ambao tuna haso tokea tutoke jakata kwa muda mrefu, ombi langu wakuu naomba tuishi kwa kushikana mikono hata kwenye vyombo vya ulinzi wakuu au hata kazi nyingine wakati huo tunasubiri huku, tuishi humo wakuu
 
Mlima tembo ,mlima maingu ,mlima chokaa, mlima nyani, fisi mlima, mlima range eeeh aisee walitaka kuniua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna mtu mwenye taarifa kuhusu wale vijana walichokuliwa kitaa kuingia JWTZ kama wameshaanza course? Kuna Mshua nataka nimvae hapa wizara ya ulinzi kama bado hawajaanz course nimlilie 😂
Walishaanza mdaa, walianzia kule makutopola miez 3-4 cna hakika sana. Sasa hivi wako msata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…