Mkuu samahani hivi kwenye intake yenu watu wasiopitia Jkt waliitwa?
HahahahahaWALE WATU.
Mkuu tazama replies za juu huko watu wameshazizungumzia.Hivi Nani ana fahamu scale ya uhamiaji anijuze wanalipaje
Watu walio omba zima moto mwaka huu ni wachache na wachache wanavigezo, hivyo saili yao wengi watakao itwa watatoboa.
Me nimeomba ila badluck enough sikuambatanisha namba ya Nida na pia vigezo vyote vimenipika KONa vijana wengi mmeogopa kuomba kisa vigezo...waliojaribu watatoboa pia.
Mkuu unamfahamu afande wambura?WALE WATU.
Mpya utaanza kuziona kuanzia sikukuu ya mapinduziKuna mpya Gani huko chini ya Capet mtaani sipataki nimepachoka asee
Mkuu ndio mkeka ubatoka?,,au kuna ajira nyingine zinatoka?Mpya utaanza kuziona kuanzia sikukuu ya mapinduzi
Nakazia tuWadau mtaani ni kwa moto sanaa.... Ila hizi nafasi kwa tuisiokua na mibuyu mi naona tungeweka tu 50% 50%.....mana hata siku PDF ikitoka na haupo, tusiwe dissapointed sana!! Mana unaweza ukajipa asilimia kubwa za kupata af usione jina!! Utapagawa sana!! USHAURI TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Point hii and JKT mujibu wa sheria nafasi naonaga kama kipaumbele cha kwanza n wale wa kujitolea especially walio makambini au mambo yakoje sahv wakuuWadau mtaani ni kwa moto sanaa.... Ila hizi nafasi kwa tuisiokua na mibuyu mi naona tungeweka tu 50% 50%.....mana hata siku PDF ikitoka na haupo, tusiwe dissapointed sana!! Mana unaweza ukajipa asilimia kubwa za kupata af usione jina!! Utapagawa sana!! USHAURI TU
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji419][emoji375]Wadau mtaani ni kwa moto sanaa.... Ila hizi nafasi kwa tuisiokua na mibuyu mi naona tungeweka tu 50% 50%.....mana hata siku PDF ikitoka na haupo, tusiwe dissapointed sana!! Mana unaweza ukajipa asilimia kubwa za kupata af usione jina!! Utapagawa sana!! USHAURI TU
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueWadau mtaani ni kwa moto sanaa.... Ila hizi nafasi kwa tuisiokua na mibuyu mi naona tungeweka tu 50% 50%.....mana hata siku PDF ikitoka na haupo, tusiwe dissapointed sana!! Mana unaweza ukajipa asilimia kubwa za kupata af usione jina!! Utapagawa sana!! USHAURI TU
Sent using Jamii Forums mobile app