Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Salamuu zenuuu..
IMG_20230101_150639.jpg
 
Wadau mtaani ni kwa moto sanaa.... Ila hizi nafasi kwa tuisiokua na mibuyu mi naona tungeweka tu 50% 50%.....mana hata siku PDF ikitoka na haupo, tusiwe dissapointed sana!! Mana unaweza ukajipa asilimia kubwa za kupata af usione jina!! Utapagawa sana!! USHAURI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia tu
 
Point hii and JKT mujibu wa sheria nafasi naonaga kama kipaumbele cha kwanza n wale wa kujitolea especially walio makambini au mambo yakoje sahv wakuu
 
Back
Top Bottom