Mwenye kisu kikali ndio mla nyamaleo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke
Lonja yangu hii nawapa wakuu
Mnatutisha wadau siwafichi...roho zpo juu juuleo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke
Lonja yangu hii nawapa wakuu
mkuu nime waibia lonja. ama ningebaki nayo tuu?Mnatutisha wadau siwafichi...roho zpo juu juu
NI kweli kuliko watu wakawa wanajipa Imani kubwa Kwa asilimia 100% ...tujue Hali halisi mapema kuliko kuwa dissapointed mbelenimkuu nime waibia lonja. ama ningebaki nayo tuu?
Asante kaka kwa Lonjamkuu nime waibia lonja. ama ningebaki nayo tuu?
Kuna rafik hajaombea fani ila katuma maombi makao makuu kwa ile barua pepe ila fani yake haipo sehemu ya fani kiambatanisho B hajajaza hii imekaaje anaeza itwa huyu mwanangu ???au Ndio bahati nasibu
Kaka kila siku napunguza robo kilo ya mwili kwa mawazo aisemkuu nime waibia lonja. ama ningebaki nayo tuu?
daah MUNGU atusaidieNI kweli kuliko watu wakawa wanajipa Imani kubwa Kwa asilimia 100% ...tujue Hali halisi mapema kuliko kuwa dissapointed mbeleni
mwenyewe sielewi .ila nimeona niitoe hii kidogoKaka kila siku napunguza robo kilo ya mwili kwa mawazo aise
jah ablesi tuhAsante kaka kwa Lonja
Inategemea nani alipo nyuma yake.Kuna rafik hajaombea fani ila katuma maombi makao makuu kwa ile barua pepe ila fani yake haipo sehemu ya fani kiambatanisho B hajajaza hii imekaaje anaeza itwa huyu mwanangu ???au Ndio bahati nasibu
Kila kambi ina malezi mkuu isipokuwa zipo kambi ambazo zenyewe ni kwa ajili ya malezi pekee hazifanyishi kozi Kama hizo kambi za Dar es Salaam kimbiji,mgulani na mbweni ambazo hizi hupokea vijana waliohitimu mafunzo kutoka vikosi mbalimbali Kama mgao kuongeza nguvu kazi na hizo kambi za mafunzo huwa wanapunguzwa wachache kwenda kambi hizo za malezi ambazo hazina mafunzo lakini baada ya kozi wanabaki wanabaki kwenye malezi Kama ambao wameondoka kwenda kwenye kambi za malezi na majukumu yanakuwani yaleyale isipokuwa vikosi vingi vya malezi kazi za shamba ni kiasi kidogo sanana kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maservice
Hii ni uongo bwanahahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
Huwa zina depends na salary yako baadhi wanalipwa 70k wengine 90kShingap Mkuu
Hauijui Chita mkuu... Kule ni balaa kwa mashamba ya mpunga.!!Kila kambi ina malezi mkuu isipokuwa zipo kambi ambazo zenyewe ni kwa ajili ya malezi pekee hazifanyishi kozi Kama hizo kambi za Dar es Salaam kimbiji,mgulani na mbweni ambazo hizi hupokea vijana waliohitimu mafunzo kutoka vikosi mbalimbali Kama mgao kuongeza nguvu kazi na hizo kambi za mafunzo huwa wanapunguzwa wachache kwenda kambi hizo za malezi ambazo hazina mafunzo lakini baada ya kozi wanabaki wanabaki kwenye malezi Kama ambao wameondoka kwenda kwenye kambi za malezi na majukumu yanakuwani yaleyale isipokuwa vikosi vingi vya malezi kazi za shamba ni kiasi kidogo sana