Huwa zina depends na salary yako baadhi wanalipwa 70k wengine 90k
90k ni wale wenye level ya degree au diploma ya afya
kijana huelewi kitu sijaambiwa nazijuaHii ni uongo bwana
Aisehe hii sii kweli Kama Kuna mtu amekupa amekupotosha ni uongo Kama ni wewe data zako si za kweli mkuu kwa Mjax kabisa Kama Mjax haiwezi make sense.
alikaa miez mitatu akaenda chuo atazijulia wapiHauijui Chita mkuu... Kule ni balaa kwa mashamba ya mpunga.!!
Itende pia ni malezi tuu.!!
Mkuu,Hizi posho za wapi mkuu unazoziongelea. Kama ni polisi posho ni moja tu hakuna distinction ya elimu. Wote mnapata sawa tu...wakiamua kuwapa 50k..or 90k or whatever inakuw sawa kwa wote.
Maelezo marefuuuu... Halafu mwisho anasema kambi za malezi mashamba kidogo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikaa miez mitatu akaenda chuo atazijulia wapi
Huyo kweli analitumikia Taifa na Jeshi kiukamilifu AseeMkuu,
Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.
Au muda mwingi ni majukumu tu.
Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.
Kama sio escort Basi atakua guard.
Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo aisee.Huyo kweli analitumikia Taifa na Jeshi kiukamilifu Asee
Mkuu,
Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.
Au muda mwingi ni majukumu tu.
Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.
Kama sio escort Basi atakua guard.
Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha!! KumbeUtapata. Ingia chomboni taratibu zingine utakuta hukohuko. Watu wanatoka kwenye form 4 had degree na kuendelea. Ni dhamira yako tu. Ila form 4 wengi huwa washajikatia Tamaa ya kujiendeleza.
Kwani inatambulika mkuu?Ile debate ya kwamba masters haitambuliki mmefikia wapi ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hujaambiwa kuwa haitambuliki. Inatambulika ila haina official scale kwa sasa. Au wewe unataarifa nyingine mkuu.Ile debate ya kwamba masters haitambuliki mmefikia wapi ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimemuona jamaa wa ikulu humu na yeye yumo anawachoraHii [emoji116]ni link ya group kwa ajili ya kupeana Updates kwa Urahisi[emoji116]
Hvi hawa huwa ni polisi mweli au wanavaa tu gwanda za polisi make naona wana beji ya special forceView attachment 2465170
JW Kama unatokea mtaani aisee ni hatari sana kwa afya kama hauna nguvu nyuma yako vinginevyo siku yako tu iwe imefika ila hivi hivi sio poa.Wale wa JWTZ mwezi wa pili hapo watu wanaingia msata.Jipangeni.
Jitoe akili mkuu huku ukimuomba Mungu upate wa kukushika mkono. Dhamira, jitihada zako za kutafuta na Maombi kwa Mungu yanalipa.JW Kama unatokea mtaani aisee ni hatari sana kwa afya kama hauna nguvu nyuma yako vinginevyo siku yako tu iwe imefika ila hivi hivi sio poa.
Ili kupenya katika ule usahili nyuma yako inatakiwa nguvu kubwa.
Wakati nipo JKT kuna jamaa nilikua nimezoeana naye maana tulikua tupo Coy moja na Platoon moja.
Kumbe mshikaji mzee wake alikua kitengo JW.
Sasa ikawa bado kama mwezi hivi kozi yetu ya kwa mujibu iwe imetamatika ghafla jamaa akapigiwa simu na mzee wake kua anatakiwa aende kambi ya Itaka kwa maana itakua ni moja ya kambi ambazo watachukua watu wa kwenda kupiga cadeth.
Kitu kilichonichosha ni kua maelekezo ya mshikaji kupelekwa Itaka,Mkuu wa kambi kashapewa maelekezo kila kitu na anatakiwa ahakikishe kua mshikaji anaenda itaka haraka iwezekanavyo.
Usiku wa ile siku ambayo mchizi alioongeana mshua wake.
Tukiwa tumefoleni kama kawaida kwa ajili ya madoso akaja mkuu wa kambi akamuulizia mshikaji kwa kutaja majina yake then akaniambia nifuate.
Baada ya hapo sikumuona tena jamaa mpaka kozi inaisha.[emoji28].
Hapo ndio nikaamini bongo Nyosso.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutuachi kusali wala kupambana.Jitoe akili mkuu huku ukimuomba Mungu upate wa kukushika mkono. Dhamira, jitihada zako za kutafuta na Maombi kwa Mungu yanalipa.