Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hizi posho za wapi mkuu unazoziongelea. Kama ni polisi posho ni moja tu hakuna distinction ya elimu. Wote mnapata sawa tu...wakiamua kuwapa 50k..or 90k or whatever inakuw sawa kwa wote.
Mkuu,

Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.

Au muda mwingi ni majukumu tu.

Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.

Kama sio escort Basi atakua guard.

Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kweli analitumikia Taifa na Jeshi kiukamilifu Asee
 
Utapata. Ingia chomboni taratibu zingine utakuta hukohuko. Watu wanatoka kwenye form 4 had degree na kuendelea. Ni dhamira yako tu. Ila form 4 wengi huwa washajikatia Tamaa ya kujiendeleza.
Mkuu,

Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.

Au muda mwingi ni majukumu tu.

Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.

Kama sio escort Basi atakua guard.

Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa JWTZ mwezi wa pili hapo watu wanaingia msata.Jipangeni.
JW Kama unatokea mtaani aisee ni hatari sana kwa afya kama hauna nguvu nyuma yako vinginevyo siku yako tu iwe imefika ila hivi hivi sio poa.

Ili kupenya katika ule usahili nyuma yako inatakiwa nguvu kubwa.

Wakati nipo JKT kuna jamaa nilikua nimezoeana naye maana tulikua tupo Coy moja na Platoon moja.

Kumbe mshikaji mzee wake alikua kitengo JW.

Sasa ikawa bado kama mwezi hivi kozi yetu ya kwa mujibu iwe imetamatika ghafla jamaa akapigiwa simu na mzee wake kua anatakiwa aende kambi ya Itaka kwa maana itakua ni moja ya kambi ambazo watachukua watu wa kwenda kupiga cadeth.

Kitu kilichonichosha ni kua maelekezo ya mshikaji kupelekwa Itaka,Mkuu wa kambi kashapewa maelekezo kila kitu na anatakiwa ahakikishe kua mshikaji anaenda itaka haraka iwezekanavyo.

Usiku wa ile siku ambayo mchizi alioongeana mshua wake.

Tukiwa tumefoleni kama kawaida kwa ajili ya madoso akaja mkuu wa kambi akamuulizia mshikaji kwa kutaja majina yake then akaniambia nifuate.

Baada ya hapo sikumuona tena jamaa mpaka kozi inaisha.[emoji28].

Hapo ndio nikaamini bongo Nyosso.

Jitoe akili mkuu huku ukimuomba Mungu upate wa kukushika mkono. Dhamira, jitihada zako za kutafuta na Maombi kwa Mungu yanalipa.
 
Back
Top Bottom