MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Mimi mwenyewe sijui ndio maana nimeuliza
Lonja inasema Mwezi wa pili wanaenda makambini ku recruit watuMkuu sasa hizo wanazosema zinaanza mwezi wa pili msata ni zipi
Kuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.Lonja inasema Mwezi wa pili wanaenda makambini ku recruit watu
Hizi zinaendelea sahivi ni nyingine
Ndio Imepokea Kamanda ,kuna watu wangu wameenda kuripoti juzi apa za kujitoleaKuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.
Kambi ya Oljoro wamepokea Jkt wakujitolea wapya kwani?
Basi mwaka huu kozi itapigwa Kihangaiko pekee na kama kuna (2500+peoples) uko basi nahisi wa mtaani watasaga menoNdio Imepokea Kamanda ,kuna watu wangu wameenda kuripoti juzi apa za kujitolea
Mimi sio poti ila nimezungukwa na mapoti. Huyo jamaa ana cheo gani? Alikueleza kuwa kuna level ikifika inabd uchague either kulipwa kwa elimu yako au kwa cheo chako? Yani uchague mojawapo kati ya hiyo...Mimi mwenyewe sijui ndio maana nimeuliza
Ila kuna mtu ni askari polisi nimemuuliza leo ana masters of arts in Mass communication kaniambia inatambulika hata kwenye scale ya mshahara hajaniambia wanapata ngapi
Ndio maana nimekuja kuuliza huku maana najua kuna mapoti huku ni kweli ?au mwamba alikuwa anajipa ujiko ?
Tafuta source yako mkuu...usitegemee source zetu kaka labda mibanga yetu inatudanganya.....😂Kuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.
Kambi ya Oljoro wamepokea Jkt wakujitolea wapya kwani?
Kwa imani .Wakuu leteni lonja.
Huu mwaka na sisi lazima tuingie chomboni.
Either UT au PT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maajabu kaka ,nipo na sir God connection cnavp mwnangu xmonster ,tupe lonja maana najua safari hujaja kizembe ,mbuyu wako unasemaje khsu za ndaani kabisa
[emoji16][emoji16]noma kakaTafuta source yako mkuu...usitegemee source zetu kaka labda mibanga yetu inatudanganya.....[emoji23]
Watu wapo kozi sahiviKuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.
Kambi ya Oljoro wamepokea Jkt wakujitolea wapya kwani?
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimuMimi sio poti ila nimezungukwa na mapoti. Huyo jamaa ana cheo gani? Alikueleza kuwa kuna level ikifika inabd uchague either kulipwa kwa elimu yako au kwa cheo chako? Yani uchague mojawapo kati ya hiyo...
mkuu tupe za ndaniiMimi sio poti ila nimezungukwa na mapoti. Huyo jamaa ana cheo gani? Alikueleza kuwa kuna level ikifika inabd uchague either kulipwa kwa elimu yako au kwa cheo chako? Yani uchague mojawapo kati ya hiyo...
Hata hivyo mtaani mambo hayajawahi kuwa rahisiBasi mwaka huu kozi itapigwa Kihangaiko pekee na kama kuna (2500+peoples) uko basi nahisi wa mtaani watasaga meno
Namaanisha ata wa vikosini mkuu ni kama tu wa mtaani maana nao bila mibuyu hawatoboi.Hata hivyo mtaani mambo hayajawahi kuwa rahisi
Hili nalo neno, bila shaka kuna mbanga moja ni ya mashakaMdau hapo juu kasema kozi imeanza hata wiki mbili hazijaisha sasa mwezi wa pili wanaingizaje intake nyingine
course imeanza ndo ina karibia wiki sahizi ila wanaopiga ni wa millitary science ambao watapiga miezi miwili idadi yao kama 400 hivi, ila bogi la sombasomba halipo mbali ndio litakuwa na 2500+ pamoja na wale wa mafinga na wale waliotoka makutupora kwenye kibog cha madoktaMdau hapo juu kasema kozi imeanza hata wiki mbili hazijaisha sasa mwezi wa pili wanaingizaje intake nyingine