Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwani inatambulika mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe sijui ndio maana nimeuliza

Ila kuna mtu ni askari polisi nimemuuliza leo ana masters of arts in Mass communication kaniambia inatambulika hata kwenye scale ya mshahara hajaniambia wanapata ngapi

Ndio maana nimekuja kuuliza huku maana najua kuna mapoti huku ni kweli ?au mwamba alikuwa anajipa ujiko ?
 
Kuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.

Kambi ya Oljoro wamepokea Jkt wakujitolea wapya kwani?
Ndio Imepokea Kamanda ,kuna watu wangu wameenda kuripoti juzi apa za kujitolea
 
Mimi mwenyewe sijui ndio maana nimeuliza

Ila kuna mtu ni askari polisi nimemuuliza leo ana masters of arts in Mass communication kaniambia inatambulika hata kwenye scale ya mshahara hajaniambia wanapata ngapi

Ndio maana nimekuja kuuliza huku maana najua kuna mapoti huku ni kweli ?au mwamba alikuwa anajipa ujiko ?
Mimi sio poti ila nimezungukwa na mapoti. Huyo jamaa ana cheo gani? Alikueleza kuwa kuna level ikifika inabd uchague either kulipwa kwa elimu yako au kwa cheo chako? Yani uchague mojawapo kati ya hiyo...
 
Kuna watu wanachanganya sana bongo za wadau mara kozi imeanza hata wiki mbili hamna mara Sijui askari 2500+ mbona hawaeleweki.

Kambi ya Oljoro wamepokea Jkt wakujitolea wapya kwani?
Watu wapo kozi sahivi

Na lonja inasema mwezi wa pili wanachukua tena

Embu ngoja tuone
 
Mimi sio poti ila nimezungukwa na mapoti. Huyo jamaa ana cheo gani? Alikueleza kuwa kuna level ikifika inabd uchague either kulipwa kwa elimu yako au kwa cheo chako? Yani uchague mojawapo kati ya hiyo...
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimu

Ndio maana nawauliza wadau maana huku najua wataalamu mpo hii imeekaje ?
 
Mdau hapo juu kasema kozi imeanza hata wiki mbili hazijaisha sasa mwezi wa pili wanaingizaje intake nyingine
course imeanza ndo ina karibia wiki sahizi ila wanaopiga ni wa millitary science ambao watapiga miezi miwili idadi yao kama 400 hivi, ila bogi la sombasomba halipo mbali ndio litakuwa na 2500+ pamoja na wale wa mafinga na wale waliotoka makutupora kwenye kibog cha madokta
 
Back
Top Bottom