baba mdogo, watu washua wao kabisa wa kuwazaa wapo chombon lkn still wanapambania nafasi ni kumshukuru mungu tu kwa kila kitu mkuuDaaah haya maisha asee sjui baba mdogo sajenti wa jeshi lkn ananiangalia tu mtaani nateatea na kulob lob miaka inaenda, kmkk daah
Hizi ajira za fire za nyuma zilizotoka kwa level ya form 4 walifanyia mkoani . sahivi sijui ndio maana nimeuliza maana bado kuna polisi watu waliomba level ya form 4 nao ajira za nyuma walifanyia usaili mkoani piaFire wanafanyia mkoani?? Sio Dom kweli?
Hizi habari za Dom ukichanganya na maswala ya baba kanituma mtu lazima ukate tamaa kama unaroho ndogo
Sawa sawa, fire ilikuwa ni form 4 tu. Huenda wataondoa usumbufu wa kuchoma nauli za Dodoma.Hizi ajira za fire za nyuma zilizotoka kwa level ya form 4 walifanyia mkoani . sahivi sijui ndio maana nimeuliza maana bado kuna polisi watu waliomba level ya form 4 nao ajira za nyuma walifanyia usaili mkoani pia
Maana mtu anaweza kusema anuani ni ya makao basi usaili ni makao hata polisi form 4 anuani yao ilikuwa ya makao
Ndio maana umeona nimewauliza mkuu ni usaili gani ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu wanaturusha roho juu, lonja shusha full kama umefanikiwa kuipata wakuu.Huu uzi una mchanganyiko wa polisi , uhamiaji ,fire sjui TPDF nimeona hadi jamaa wa usalama hapo juu wakipeana lonja
Mnavyosema usaili umeanza muwe specific sema usaili wa nini .. mbona rahisi tu kuandika sentensi iliyokamilika
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pengine labda hatuwezi jua mambo yanabadilikaga mkuu . ila wakifanya mkoani itakuwa vizuri kama ulivyosema kwa ajili ya gharamaSawa sawa, fire ilikuwa ni form 4 tu. Huenda wataondoa usumbufu wa kuchoma nauli za Dodoma.
Unialike nije basi namie kwakoduh hizo milioni na ushee?? hope umefanya jambo la kumbukumbu lakini, nipo nakula upepo wa bahari
Lawezekana hilo mkuu lkn wawe na vigezoKwa wajuvi nilisikia maafsa ya wa vyombo vya usalama wanapewa nafasi za kuwaweka watu wao wa5 je kuna ukweli?
PolisiHizi ni saili za nini unazozizungumzia mkuu ?
Mamaee tumeishaa.Za chini chini Uhamiaji ni kuwa maombi yaliyopokelewa huko ni elfu 31 bado wanayachakata hadi yafike 1200 Ndio waite watu usaili
Wanapiga simu au majina yapo kwenye mbao kwenye ofisi za RPCPolisi
Hahaha eti tumeishaMamaee tumeishaa.
Sure.Hahaha eti tumeisha
Maombi 31,000Za chini chini Uhamiaji ni kuwa maombi yaliyopokelewa huko ni elfu 31 bado wanayachakata hadi yafike 1200 Ndio waite watu usaili
Daaah ila ndgu wengn wana roho ngumu sn. Nachoamin mzee ana uwezo wa kukuvesha bakabaka sema hajaamua tu,ana cheo kikubwa tu kaka,wapo masajent wanawavesha w2 bakabaka sembuse yeye ndgu yanguNi mdogo majibu yake ni subiri kwanza nikimpigia simu ananambia ntakutafuta ngoja ndo mazima kimya kikali kuna day nikamuandikia essay ndefu sana alaf nkakata mawasiliano..
Hii ishu niliskia kwa majeshi ya wizara ya ndani niliskia kwenye saili za majeshi ya ndani pale kwanza wanaulizana kama una mtu wako kwenye ile kamati ya juu kabisa ya ulinzi yani kamati ya ulinzi mkoa RPO, RPC , wote hadi fire na immagiration hadi mwenyekiti wao RC akiamua kuweka watu anaweka tuKwa wajuvi nilisikia maafsa ya wa vyombo vya usalama wanapewa nafasi za kuwaweka watu wao wa5 je kuna ukweli?
Kama hujui mkuu.Daaah ila ndgu wengn wana roho ngumu sn. Nachoamin mzee ana uwezo wa kukuvesha bakabaka sema hajaamua tu,ana cheo kikubwa tu kaka,wapo masajent wanawavesha w2 bakabaka sembuse yeye ndgu yangu