mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Me kipindi hicho nilikuwa nawaona na uniform Kabisa
Form six hawakuorozeshwa kwenye maombiLonja nilivyoipata iv punde form6 waliomba upolic kupitia masomo ya sayansi uhakika wa kutosha
Hio ilikuwa ni vigezo wataenda kukuthibitishia wenyeweNarudia Tena '' awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa serikali''
Sasa hapo bila kithibitisho Cha daktari ambacho n medical form watajuaje?
Kwaio ilikua lazma kabisa kukiweka
hiyo ukimwii umeitoa kavu,cc wataalamu tunakuchukulia unafanya stigmaLonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
***** unakoswa na living UT unadakwa kimo.Lonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
Hahahaha***** unakoswa na living UT unadakwa kimo.
Wazee na log ofHahahaaha
Sema waliomaliza zamani wengi hawana leaving kwa polisi wanaweza legeza kamba polisi chama la wana ngoma ipo kwa uhamiaji sijui wana nini wale jamaa***** unakoswa na living UT unadakwa kimo.
Wazee na log off
CCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureauYaani wanaasilimia kubwa ya kutoboa nimesikia watakuwa kipaumbele zaidi si unajua kule CCP Kuna kozi ya kisayansi imeanzishwa iv karibuni
Mkuu Kimo π cha kina eskima 5'1Sema waliomaliza zamani wengi hawana leaving kwa polisi wanaweza legeza kamba polisi chama la wana ngoma ipo kwa uhamiaji sijui wana nini wale jamaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiki kimo kama ni mwanaume omba Mungu watakaokuwa wanafanya screening on the first day wakuonee huruma. Kwa wadada sio issue sana unless una mbanga.Mkuu Kimo π cha kina eskima 5'1
We kama vyeti unavyo , umri unao ,afya njema ondoa shakaMkuu Kimo [emoji2] cha kina eskima 5'1
Jakata ya wapi inamchukua mujibu kupiga kozi ya volunteer? Unabust kozi poti? Watakwambia vyeti ivo ni sawa na ni kweli wanaviweka uzito Sawa (mujibu na kujitolea)Kama umri unaruhusu kajitolee mkuu
Njoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite π
kozi gani hyo PT naweza kunja 2M mkuu??Njoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.
Ila ukipata JWTZ mabegani na mpunga vinaenda pamoja.
Degree za kada ya afya ndio zinaongoza kwa pesa ndani ya PT. Madaktari, manurse, wafamasia, physiotherapist etc. Mshahara wao ukiongeza na posho zao zote zikilipwa unagusa 2m+. Inspector mwenye degree ya kawaida tofauti na afua hafiki huku.kozi gani hyo PT naweza kunja 2M mkuu??