Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Narudia Tena '' awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa serikali''

Sasa hapo bila kithibitisho Cha daktari ambacho n medical form watajuaje?
Kwaio ilikua lazma kabisa kukiweka
Hio ilikuwa ni vigezo wataenda kukuthibitishia wenyewe
JamiiForums323964109_copy_652x203.jpg
 
Lonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
hiyo ukimwii umeitoa kavu,cc wataalamu tunakuchukulia unafanya stigma
 
Yaani wanaasilimia kubwa ya kutoboa nimesikia watakuwa kipaumbele zaidi si unajua kule CCP Kuna kozi ya kisayansi imeanzishwa iv karibuni
CCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureau
 
Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite 😂
Njoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.
Ila ukipata JWTZ mabegani na mpunga vinaenda pamoja.
 
Back
Top Bottom