mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Very much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JWππππ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsi
sema PT Mwenye degree pamoja na other benefits anagusa takriban 1.4 M kitu ambacho sio kibaya sana . na polisi wana heka heka za kuishi kitaa nyingi. jeshi unakua upo kambini muda mwingi sanaVery much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JWππππ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsi
Kupitia connection yako unaweza beba hata wawili wenzako humu ndaniKusaidiana tunasaidiana mkuu ila kwa sasa wote tupo nje ya chombo kaka
Wewe ume join 28/12/2022 !!! Huna uzoefu na izi shoo si ndo tunaelewaNarudia Tena '' awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa serikali''
Sasa hapo bila kithibitisho Cha daktari ambacho n medical form watajuaje?
Kwaio ilikua lazma kabisa kukiweka
We jamaa kama una connection nenda PT kumbuka JW mwaka jana wamechukua medics na engineer na saivi wapo monduli kama una connection ya JW bas fresh lakin kama huna itakula kwako shauri yako.Nikiwaambia mtaona nawachawia mm mbanga nnao wa PT ndo mana sjaomba mna nikiomba lazima niende tena ni medic mimi nasubiri mtipidii ukigoma huo December mwakaa huu tukutane CcP
We blaza wewe umeongea na walio fanya usaili mwaka Jana???? Watu wengi hawakupita usailiLonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
Achana nae huyo kuna vigezo vina reason bhana hiyo medical report sidhani kama eti ndo kiwe kigezo cha kukata watu sidhaniWewe ume join 28/12/2022 !!! Huna uzoefu na izi shoo si ndo tunaelewa
Unaijua salary ya form 6 JW?form six wa tpdf ananiacha karibia marambili degree holder wa social science PT!! doh hatarii
Usidharau vitu unavyoviona "vidogo" especially kwenye sahili zinazohusisha watu wengi. PT HQ wanaweza wakarusha taulo ila UT wanaweza tumia kama kigezo cha kupunguza watu to the lowest number they can accommodate for interview. Don't underestimate such small details especially kwa UT yenye nafasi chache.Achana nae huyo kuna vigezo vina reason bhana hiyo medical report sidhani kama eti ndo kiwe kigezo cha kukata watu sidhani
Ni hatua ya kwanza kuingia chomboni ila sio kwamba utakuwa na asilimia kubwa ya kupita. Wataitwa wengi tu. Ila wachache ndio wataingia chomboni.Lonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
Kaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaaNi hatua ya kwanza kuingia chomboni ila sio kwamba utakuwa na asilimia kubwa ya kupita. Wataitwa wengi tu. Ila wachache ndio wataingia chomboni.
Bora niwe najuta lkn Kila mwisho wa mwezi nna 1.5m+ kuliko kua kitaa na furaha halafu mwisho wa mwezi nna sifuriKaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaa
Uaskari sio kuvaa uniform ni kazi ya kujitoa na kupambana kweli kweli
Tufungue mioyo yetu kwa asilimia zote ..kazi usipoipenda ni kazi kweli kweli
Sawa chiefBora niwe najuta lkn Kila mwisho wa mwezi nna 1.5m+ kuliko kua kitaa na furaha halafu mwisho wa mwezi nna sifuri
Cha muhimu fungua moyo na ujiandae kua na busara na hekima ya hali ya juu sana na ustahimilivu uliotukukaBora niwe najuta lkn Kila mwisho wa mwezi nna 1.5m+ kuliko kua kitaa na furaha halafu mwisho wa mwezi nna sifuri
form six ambae ni luteni nyota mbili pamoja na benefits zote anakunja 2.3M mkuuUnaijua salary ya form 6 JW?
Halafu kuna mtu niliwahi kusikia humu anadai wazanzibari huwa wanapewa nafasi nyingi mule sijajua lina ukweli ganiSema waliomaliza zamani wengi hawana leaving kwa polisi wanaweza legeza kamba polisi chama la wana ngoma ipo kwa uhamiaji sijui wana nini wale jamaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
noted mkuuUsidharau vitu unavyoviona "vidogo" especially kwenye sahili zinazohusisha watu wengi. PT HQ wanaweza wakarusha taulo ila UT wanaweza tumia kama kigezo cha kupunguza watu to the lowest number they can accommodate for interview. Don't underestimate such small details especially kwa UT yenye nafasi chache.
Asee ivi raia si unaweza kumuoa mwanajeshiπform six ambae ni luteni nyota mbili pamoja na benefits zote anakunja 2.3M mkuu
pdf ya uhamiaji watu wa visiwani priority sana,subiri itoke mkuuH
Halafu kuna mtu niliwahi kusikia humu anadai wazanzibari huwa wanapewa nafasi nyingi mule sijajua lina ukweli gani
Duhpdf ya uhamiaji watu wa visiwani priority sana,subiri itoke mkuu
Upo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...Kaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaa
Uaskari sio kuvaa uniform ni kazi ya kujitoa na kupambana kweli kweli
Tufungue mioyo yetu kwa asilimia zote ..kazi usipoipenda ni kazi kweli kweli