Hta mm nilifanya usaili mwaka jana ila hiyo lonja niloyopewa safari hiiNi hatua ya kwanza kuingia chomboni ila sio kwamba utakuwa na asilimia kubwa ya kupita. Wataitwa wengi tu. Ila wachache ndio wataingia chomboni.
We blaza wewe umeongea na walio fanya usaili mwaka Jana???? Watu wengi hawakupita usaili
Ndio unaweza ni nondo zako tuAsee ivi raia si unaweza kumuoa mwanajeshiπ
Sifa... TULINDE DAMULonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
Nasemea kwa form 6 plain tu ..achana na mwenye cheoform six ambae ni luteni nyota mbili pamoja na benefits zote anakunja 2.3M mkuu
We blaza wewe umeongea na walio fanya usaili mwaka Jana???? Watu wengi hawakupita usaili
Ni kweli mwaka Jana wazenji walikuwa nyomi hadi waliokosa vigezoH
Halafu kuna mtu niliwahi kusikia humu anadai wazanzibari huwa wanapewa nafasi nyingi mule sijajua lina ukweli gani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mabioUpo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...
I remember mkufunzi mmoja aliwah kusema kiutani ...kusema kwa nn mabio ni mwanzo mwisho kwa Pt...akasema utayatumia pale adui atakapokuzidi nguvu ukimbie...at least u can save ur life and regroup to attack him strongly [emoji23]
Sasa wewe tegea meaning afu siku ndio likukute tukio
Sahihi mkuu maana kuna muda lazima mjibizane risasi na jambazi ..na ww ndio utawekwa front lineUpo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...
I remember mkufunzi mmoja aliwah kusema kiutani ...kusema kwa nn mabio ni mwanzo mwisho kwa Pt...akasema utayatumia pale adui atakapokuzidi nguvu ukimbie...at least u can save ur life and regroup to attack him strongly π
Sasa wewe tegea meaning afu siku ndio likukute tukio
Unaoa tu lkn usimzingue atakuitia mwaliko [emoji23][emoji23]Asee ivi raia si unaweza kumuoa mwanajeshi[emoji28]
hkuna six plain mkuu,huyo ni private ambae hajapiga kozi ya uluteni. scale za watu wa elimu ya form six ni hii mkuuNasemea kwa form 6 plain tu ..achana na mwenye cheo
Huku kwenye PT scale yao ipoje nakohkuna six plain mkuu,huyo ni private ambae hajapiga kozi ya uluteni. scale za watu wa elimu ya form six ni hii mkuu
mkoani or makao ,UT or PT mkuu?Kuna mwanangu kaambiwa na mbanga wake /connection yake aanze tu mazoez π π π π π sasa ananiambia naanzaje mazoez wakati hata pdf bado
Private mwenye form 6 ...salary ipo sawa na wa form 4 privatehkuna six plain mkuu,huyo ni private ambae hajapiga kozi ya uluteni. scale za watu wa elimu ya form six ni hii mkuu
PT hiyo headquartermkoani or makao ,UT or PT mkuu?
Hiiyo ndio maana halisi ya watu sasa...ukiwa na watu huwezi ona ugumu wa maishaKuna mwanangu kaambiwa na mbanga wake /connection yake aanze tu mazoez π π π π π sasa ananiambia naanzaje mazoez wakati hata pdf bado
sijajua ila non-science degree programme huwa ni below 1M.Huku kwenye PT scale yao ipoje nako
mmae watu wanamibuyuPT hiyo headquarter
Kaambiwa asiwe anamtafuta sana /kumpigia sana kwa simu mana kuna muda jamaa alikuwa anamsumbua Sana huyo jamaaHiiyo ndio maana halisi ya watu sasa...ukiwa na watu huwezi ona ugumu wa maisha
Aanze jogging atengeneze pumzi taratibuKuna mwanangu kaambiwa na mbanga wake /connection yake aanze tu mazoez π π π π π sasa ananiambia naanzaje mazoez wakati hata pdf bado