Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ni hatua ya kwanza kuingia chomboni ila sio kwamba utakuwa na asilimia kubwa ya kupita. Wataitwa wengi tu. Ila wachache ndio wataingia chomboni.
Hta mm nilifanya usaili mwaka jana ila hiyo lonja niloyopewa safari hii
We blaza wewe umeongea na walio fanya usaili mwaka Jana???? Watu wengi hawakupita usaili
 
Upo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...

I remember mkufunzi mmoja aliwah kusema kiutani ...kusema kwa nn mabio ni mwanzo mwisho kwa Pt...akasema utayatumia pale adui atakapokuzidi nguvu ukimbie...at least u can save ur life and regroup to attack him strongly [emoji23]

Sasa wewe tegea meaning afu siku ndio likukute tukio
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mabio
 
Upo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...

I remember mkufunzi mmoja aliwah kusema kiutani ...kusema kwa nn mabio ni mwanzo mwisho kwa Pt...akasema utayatumia pale adui atakapokuzidi nguvu ukimbie...at least u can save ur life and regroup to attack him strongly 😂

Sasa wewe tegea meaning afu siku ndio likukute tukio
Sahihi mkuu maana kuna muda lazima mjibizane risasi na jambazi ..na ww ndio utawekwa front line
Au umepewa task ya kwenda kumkamata jambazi na hamjui amejipangaje
 
Back
Top Bottom