Hiyo ni kote koteUhamiaji au had polis
Watu wakula tunda kimasihara hawatakiwi huko 🤣🤣Bado tunaendelea kutafuta weng wa kurud nyumban ili tuwaweke member weng wa jf kama rickboy na Liverpool VPN
Hiyo ni kote kote
Mbna wavunjika moyo na PDF bado ndugu yangu ,mungu atabless mbnaBinafsi Mimi nakutamani sana polisi, nina ujuzi wa kuunda mifumo ya tehama nikipata tengo huko nafanya kwa moyo wangu wote
Medical form niliweka, Mungu atasaidiaMtarushiwa taulo,vp medical form
Punguza waswas, nafasi unayo mbnaMedical form niliweka, Mungu atasaidia
Haha hivi kuna kulitumikia taifa tena siku hizi sio kulitumikia tumbo [emoji16]Haha .. sasa sisi wengine tunataka kulitumikia taifa Ila namna tunakosa tufanyeje sasa
Yanaenda sambamba chief, ni kupenda tu unachofanyaHaha hivi kuna kulitumikia taifa tena siku hizi sio kulitumikia tumbo [emoji16]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Babaa ya rushie taulooMtarushiwa taulo,vp medical form
😅Babaa ya rushie tauloo
Ungekuwa unaishi moshi Unajitosa tu kwani watakuua au ?Hivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Unaweza win or lose iyo kamari ila asilimia kubwa ni lose na ukilose utapigika doso utaonekana umekiuka Sheria au umekuja kupeleleza utaiva asee,na ukiwin itakuwa ni mtu mwenye bahati SanaSema ata wao watacheka sana 😂😂
maboresho ya mtaala...ni nouma juu ya noumaOya kuruta wa Pt mjipange nakumbuka mwaka jana walisema watafanya maboresho ya mtaala.
Tudodosee mkuu tupate mwangazamaboresho ya mtaala...ni nouma juu ya nouma
Hapo hata kwa kuhisi tu ni kwamba mafunzo yatakwaza sana ili watoe askari kweli kweli.Tudodosee mkuu tupate mwangaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Kwasasa watu wana taka tarehe sio ayo mambo mengineNew updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Ivi wewe una account Ajira Portal?? Nani kakudanganya online applications vyeti having haja ya kua certified???PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.