Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Binafsi Mimi nakutamani sana polisi, nina ujuzi wa kuunda mifumo ya tehama nikipata tengo huko nafanya kwa moyo wangu wote
Mbna wavunjika moyo na PDF bado ndugu yangu ,mungu atabless mbna
 
Hivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Ungekuwa unaishi moshi Unajitosa tu kwani watakuua au ?


Hii bongo nyoso we jilipue tu [emoji16] sasa tutajuaje kama inawezekana au haiwezekani kama hapatakuwa na ma legend Kama nyinyi wa kujaribu

Wengine wanavamia mpka wakubwa mitaani au barabarani huko muhuni haelewi kabisa anaomba ashikwe mkono tu



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando

3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando

Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates

Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa

Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Kwasasa watu wana taka tarehe sio ayo mambo mengine
 
PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.
Ivi wewe una account Ajira Portal?? Nani kakudanganya online applications vyeti having haja ya kua certified???
 
Back
Top Bottom