MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Wapo mkuu op mererani mpka sahivi 2023 wapo wenye miaka 25 mpka sahiviIvi kwa wale uliofanya interview magereza,Kuna mtu anamiaka 25,na anacheti Cha JKT? Alienda mda gani Yani
shida inakuja muda utapata maana kwa JKT nakumbuka ilikuwa muda mwingi mnakuwa mmekusanywa unakosa kuwa huru kukimbiakimbia, so nakushauri ni bora ukaanza sasa.kwani intro si inakuwaga baada ya muda Fulani ,huo muda ambao tutaachiwa kabla ya intro nitakula tizi hata jkt nilifanya HV hv,yaani pumzi ilikuwa kisoda Ila baada ya mda niliadapt nikawa hatari Kama mtu wa marathon
Jw watu washaanza usail hukoNadhani baada ya JW .. PCCB watatufunguia dimba [emoji3]
Mama alivyo unashangaa tunaanza tena round upya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mpaka process zote za usaili zikamilike, walioko kambini wagraduate basi course itegemewe kuanzia mwezi wa 4 na kuendelea. Ikitokea umekosa majeshi mengine inabdi uinvest huko MTMwezi wa 2 mbna kama tutakua tumeshavuka 😀
Huu usaili wanafanya makambini au msata?
Kama wapo ni wachache sanaWapo mkuu op mererani mpka sahivi 2023 wapo wenye miaka 25 mpka sahivi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizo scale wakae nazo sizihitaji mimi ,mi napenda mazingira ya kazi ya kitengo cha uhamiaji na jinsi kitengo kinavyo fit personality yangu ,kuna kazi inaweza kuwa ngumu kama personal character yako na kazi husika viko opposite .
Vipi ?walikupa za uso nini ?Pccb Mimi siombi,kwa mieleka ya mwaka jana,Sina ham sikuomba Ila nilikuwa najionea tu
Sikuomba Ila ndugu yangu aliomba,alikosa refa tu alipiga mpaka oralVipi ?walikupa za uso nini ?
Sema huu utaratibu wa mbanga nao unaboa sana kama huna mbuyu mzee haya majeshi Tz kuingia ni mbinde hivyo vigezo wanapitishwa hata maboya ambao hawana hata kimoja as long as jitu Lina mbuyu halafu nyie wenye vigezo out .Sikuomba Ila ndugu yangu aliomba,alikosa refa tu alipiga mpaka oral