Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ifikie hatua jeshi letu la polisi liajiri wasomi wengi kuna Askari ni darasa la Saba na felia wa form 4 ndio wanaoshusha hadhi ya jeshi la polisi Tanzania kwa Mambo ya kijinga [emoji3578]
 
Pia kwenye suala la nidham kiongozi naona wa kujitolea ndio wanakuwa na mentality hiyo kutokana washapandikizwa kitu cha kudharau polisi toka vikosini [emoji3578]
 
Felia ndio wanasumbua Sana baadhi ya mikoa wamechukua form 4 kwa div one hadi 3 ,four wameachwa kingine kuruta wa kujitolea wengi ni darasa la saba ndio wanazidi kuongeza usumbufu
Sasa la saba naye anataka aingiziwe kwenye majeshi na surplus ya wasomi iliyoko mtaani hii ,hivi kweli inaingia akilini ?
 
Walioomba PT ndio wameomba UT Pia so ,wanaweza kuangalia majina yaliyojitokeza Mara mbili kama umepita sehm moja nyingne unakatwa na idadi ndogo walioomba upnde mmoja hao wanaweza kuwa n nafasi kubwa ya kupita
Kuangalia yaliyojitokeza mara 2 kama umeombea kote kote eti yakatwe ni uwongo mkuu haiwezekani utaitwa kote kote usaili ni wewe sasa uamue pale utapochaguliwa sehemu moja kama mwaka jana wapo walioenda CCP Moshi alafu wakaitwa tena kwenda kiwira .kikubwa uwe navigezo
 
Ifikie hatua jeshi letu la polisi liajiri wasomi wengi kuna Askari ni darasa la Saba na felia wa form 4 ndio wanaoshusha hadhi ya jeshi la polisi Tanzania kwa Mambo ya kijinga [emoji3578]
Na wengi ni viazi haswa na ndio hao wamepandishwa mpaka kuwa ma ACP na ma RPC lakini ni zero brain hata common sense Hamna ,ndio hayo mambo ya ajabu sasa ambayo mliyashuhudia kwenye zile kesi za akina Mbowe ,mambo ya PGO, polisi inspector na RPC wanaulizwa nini maana ya PGO na kuelezea kuihusu ,hawajui kitu ,na kuna mengi ya ovyo kwenye jeshi la polisi , transfomation kubwa inabidi kufanywa na ndio maana jeshi limeendelea kudhalilika .kuna moja juzi kule Tarime ,mtu kakutwa kauawa halafu mwili umefungwa kwenye Kiroba au gunia ,sasa eti ACP anasimama na kutoa maelezo kwa vyombo vya habari bila aibu eti marehemu amekufa kwa kunywa pombe na akaenda kwenye gunia na kujifunika ,what a nonsensical thing to say .

Hii inakupa reflection ya level ya mediocrity na incompetence katika jeshi la polisi ,
Ina maana hapo forensic investigation imefanyika halafu ndio wakatoka na hayo majibu au ni huyo ACP karopoka kama mlevi ,hii inakupa mashaka sana na maswali mengi kuhusu jeshi la polisi
 
Walioomba PT ndio wameomba UT Pia so ,wanaweza kuangalia majina yaliyojitokeza Mara mbili kama umepita sehm moja nyingne unakatwa na idadi ndogo walioomba upnde mmoja hao wanaweza kuwa n nafasi kubwa ya kupita
Kikubwa watachofanya siku za usaili haziwez kufanana ,mtu utaamua mwenyewe ujigawe wapi mwoshoni kuna sehemu utakuwa absent tu.
 
Ukitoa maoni punguza hasira na chuki
 
Umeongea Sana kisiasa, punguza jazba hili jeshi ni letu halipaswi kuchukiwa bali linatakiwa tulibadilishe siye ,na viongozi wetu ni waku heshimiwa haijalishi wamepita elimu ya namna gani hadi walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…