Na wengi ni viazi haswa na ndio hao wamepandishwa mpaka kuwa na ACP na Na RPC lakini ni zero brain hata common sense Hamna ,ndio hayo mambo ya ajabu sasa ambayo mliyashuhudia kwenye zile kesi za akina Mbowe ,mambo ya PGO, polisi inspector na RPC wanafukuzwa nini maana ya PGO na kuelezea kuihusu ,hawajui kitu ,na kuna mengi ya ovyo kwenye jeshi la polisi , transfomation kubwa inabidi kufanywa na ndio maana jeshi limeendelea kudhalilika .kuna moja juzi kule Tarime ,mtu kakutwa kauawa halafu mwili umefungwa kwenye Kiroba au gunia ,sasa eti ACP anasimama na kutoa maelezo kwa vyombo vya habari bila aibu eti marehemu amekufa kwa kunywa pombe na akaenda kwenye gunia na kufunika ,what a nonsensical thing to say .
Hii inakupa reflection ya level ya mediocrity na incompetence katika jeshi la polisi ,
Ina maana hapo forensic investigation imefanyika halafu ndio wakatoka na hayo majibu au ni huyo ACP karopoka kama mlevi ,hii inakupa mashaka sana na maswali mengi kuhusu jeshi la polisi