Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

pamoja mkuu
 
Mkuu ukiingia serikalini utapewa namba yako ya kulipwa kupitia hazina ndio inaitwa check number.
Yaani badala kupambana kuingia kwenye system anaulizia habari ya mkopo pambana kwanza uingie kwenye system mambo ingine utajua hukohuko may b kama hujapitia msoto wa kitaa ndo uanze kujudge maslahi
 
hii ni kweli mkuu hata mimi nimeona hilo
 
Ni kweli unalosema, lkn exposure ya elimu inasaidia sanaa
Unalosema ni kweli lakini trust me exposure ya elimu inasaidia sanaa, ndio mana mtu akifanya jambo la ovyo kwenye jamii mara nyingi tunaanza kuhoji kiwango Cha elimu yake
 
Ni moja ya sababu watu wa degree wanachukuliwa wachache kuliko hao fm4
 
Ni moja ya sababu watu wa degree wanachukuliwa wachache kuliko hao fm4
Hapana let's be honest and face facts. watu wa degree Wanachukuliwa wachache kutokana na uhitaji wao na kumbuka salary scale ya degree ni kubwa kuliko form four kwaiyo kama kazi inaweza fanywa na form four kwann uajiri degree mwenye mshahara mkubwa??? Ni simple logic tu ya kubana matumizi yasiyo na lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…