BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Mkuu ukiingia serikalini utapewa namba yako ya kulipwa kupitia hazina ndio inaitwa check number.Cheki no ipi mkuu unaizungumzia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiingia serikalini utapewa namba yako ya kulipwa kupitia hazina ndio inaitwa check number.Cheki no ipi mkuu unaizungumzia hapa
Waswahili wanasema unajiengua mwenyewe kwenye mashindanoKikubwa watachofanya siku za usaili haziwez kufanana ,mtu utaamua mwenyewe ujigawe wapi mwoshoni kuna sehemu utakuwa absent tu.
pamoja mkuuSahihi kabisa, naweza tolea mfano kwa bwana mmoja si vyema kumtaja majina alifanya vyema sana katika taaluma fulani japo alikuwa ni kidato cha nne tu elimu yake ila huwezi amini alipelekwa uingereza kuisoma vyema ile taaluma. Kwahiyo si kauli nzuri kuona kama hao watu wa darasa la 7 au kidato cha nne hawana maana, kukosa nidhamu ni utashi wa mtu binafsi kuna watu wana elimu nzuri na wanatimuliwa sana mfano TMA.
Alaaaa kumbe kwahyo hyo cheki no ndo bank yoyote ile nakopaMkuu ukiingia serikalini utapewa namba yako ya kulipwa kupitia hazina ndio inaitwa check number.
Yaani badala kupambana kuingia kwenye system anaulizia habari ya mkopo pambana kwanza uingie kwenye system mambo ingine utajua hukohuko may b kama hujapitia msoto wa kitaa ndo uanze kujudge maslahiMkuu ukiingia serikalini utapewa namba yako ya kulipwa kupitia hazina ndio inaitwa check number.
hii ni kweli mkuu hata mimi nimeona hiloHuu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.
Nadhani ni kwasababuIvi magereza elimu ni kwa form four tu ama imekaaje?
Majina gani Tena😳Majina ya usaili yameshatoka
Kabisa. Haya mambo atayajua hukohukoYaani badala kupambana kuingia kwenye system anaulizia habari ya mkopo pambana kwanza uingie kwenye system mambo ingine utajua hukohuko may b kama hujapitia msoto wa kitaa ndo uanze kujudge maslahi
UT au PTWakuu anayetaka mbanga anicheki chap
kuweni makini na mbanga,asije pigwa mtuWakuu anayetaka mbanga anicheki chap
Ni kweli unalosema, lkn exposure ya elimu inasaidia sanaaHuu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.
Unalosema ni kweli lakini trust me exposure ya elimu inasaidia sanaa, ndio mana mtu akifanya jambo la ovyo kwenye jamii mara nyingi tunaanza kuhoji kiwango Cha elimu yakeHuu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.
Ni moja ya sababu watu wa degree wanachukuliwa wachache kuliko hao fm4Huu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.
Hapana let's be honest and face facts. watu wa degree Wanachukuliwa wachache kutokana na uhitaji wao na kumbuka salary scale ya degree ni kubwa kuliko form four kwaiyo kama kazi inaweza fanywa na form four kwann uajiri degree mwenye mshahara mkubwa??? Ni simple logic tu ya kubana matumizi yasiyo na lazimaNi moja ya sababu watu wa degree wanachukuliwa wachache kuliko hao fm4
Wakuu hapa kwenye utaratibu wa kutuma sijaelewa yaan tuandike barua kwa mguu wa gereza wa wilaya husika....na hapo wanasema barua zote zitume kwa posta tena
Kakupiga fix au sioMzee wa ikulu....jamaa wako wa ikulu hajakupa taarifa zozote za magereza
Hahahahaha hapana mkuu si unajua jamaa wa ikulu hakosagi lonjaKakupiga fix au sio