Jeshi lenye usaili ngumu wa hovyo hovyo ni Tanapa,wengine wanafata
PT vp chief?
Usaili wa JW ukoje?Haha mwendo wa kuruka viunzi, wanafanyia oljoro pale
Asante kwa lonja kaka Afisa ...Najibu kutokana na sehemu niliyopo mkuu,kama kuna mtu wa PT umu akiwaibia siri pia sio mbaya
kama uliomba UT na umekidhi vigezo muhimu hesabu kwenye pdf umepita
Note: Tutawapuna sana kwenye saili, we only need few candidates to go with
Ipo town kimtindo..Ila kuna routes za kutosha kwenye mashamba ya mkonge.Naskia iko twn kbas kaka,sas hapo mabio yapo kwel?
Mkuu chukua bia kwa mangi nalipia, wanangu wa 825kj mtabila wanaelewa mmojawapo Ndege TaiNa kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko
Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa
Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Haunaga tofauti na ule wa jkt japo wenyewe vipimo unazidi kidogo, na inategemea unafanyia wapi mkuuUsaili wa JW ukoje?
Ndio mkuu,mzee ulipita 838kj au unaongea tu
Miundombinu ya pale ni mizuri kuliko kambi zote za JKT hapa Tanzania kuna vyoo vya kumwaga tena vina maji ndani,maji ya bomba mazuri tena mabomba kila sehemu kuna Hadi miundombinu ya walemavu ndio kaambi inayotazwa sana kuliko kambi nyengine za jkt kingine Wana hospital yao nzuri ina matibabu mazuri,hakuna jkt yenye maanga mazuri na bora na mengi yakutosha kuzidi ruvu pale mzee me nimekuwa kuruta kambi mbili mujibu na kujitolea nimeona vizuri,maji hayakatiki pale ruvu wala umeme.Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama
wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .
Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo
Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
Huwa na huko kuna maovyoovyo au?Haunaga tofauti na ule wa jkt japo wenyewe vipimo unazidi kidogo, na inategemea unafanyia wapi mkuu
Trh 28 bdo hainingii akilin kma hukumu ya babu seaNajibu kutokana na sehemu niliyopo mkuu,kama kuna mtu wa PT umu akiwaibia siri pia sio mbaya
kama uliomba UT na umekidhi vigezo muhimu hesabu kwenye pdf umepita
Note: Tutawapuna sana kwenye saili, we only need few candidates to go with
huyo jamaa anajua kweli umbali kutoka kambini hadi majumba ,go and returnIpo town kimtindo..Ila kuna routes za kutosha kwenye mashamba ya mkonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira ndio mabovu mkuu ila Siyo mazoezi jkt hakuna jipya mkuu,me nimekula scale zote mujibu na kujitolea mnashindwa kutofatisha ugumu wa kozi wa mazingira au miundombinu.hakuna kambi ya jkt Tanzania hii iliyokamilika kama ruvu ndio kambi inayoweza kuhold kuruti zaidi laki moja,pale kombania moja mujibu tu inabeba watu kama mia 4 .alafu kombania zaidi ya 5 au 5.kambi ina vyoo vya kumwaga,ndio kambi ya jkt yenye miradi mingi ya uzalishaji mali kuliko kambi zote za jkt,pia wana bustani kubwa na nyingi mno tena long distance kikos Chao ni kikubwa pia kijiografia.Na kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko
Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa
Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Hamna mabio ya kutishia ni jogging za kwenda shambani at least ndio kidogo ndefuNaskia iko twn kbas kaka,sas hapo mabio yapo kwel?
Kambi za tanga ndio wapemba wapo wengi alafu wapenda usiwachukulie poa iyo kasumba ondoa Kabisa niulize mimi ninaovua nao baharini jamaa wapo ngangari lafudh isikuchanganye kazi wanazofanya wapenda huku baharini wewe huwezi na tukikuchukua baharini siku Moja usiku ukae tu kwenye ngwanda ya uvuvi kesho hauji tena.Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama
wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .
Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo
Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
CCP ni kambi kubwa Sana wanaeneoa kubwa sana watu wanaenda kozi na hamuoanani ,sasa pale maramba kambi imezungukwa na makazi ya watu very closeHata CCP iko Town kabisa ila mabio ni kila siku mkuu ...ni mipango tu [emoji23]
Hao jamaaa noma saili zao mabio kama ndio chakula chaoHaha mwendo wa kuruka viunzi, wanafanyia oljoro pale
Endelea kutupa Lonja kiongozi,vipi kuhusu idadi inayotakiwa kwa Sasa na itayotoka ya usailiNajibu kutokana na sehemu niliyopo mkuu,kama kuna mtu wa PT umu akiwaibia siri pia sio mbaya
kama uliomba UT na umekidhi vigezo muhimu hesabu kwenye pdf umepita
Note: Tutawapuna sana kwenye saili, we only need few candidates to go with