Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Na kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko

Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa

Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Mkuu chukua bia kwa mangi nalipia, wanangu wa 825kj mtabila wanaelewa mmojawapo Ndege Tai
 
Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama

wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .

Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo

Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
Miundombinu ya pale ni mizuri kuliko kambi zote za JKT hapa Tanzania kuna vyoo vya kumwaga tena vina maji ndani,maji ya bomba mazuri tena mabomba kila sehemu kuna Hadi miundombinu ya walemavu ndio kaambi inayotazwa sana kuliko kambi nyengine za jkt kingine Wana hospital yao nzuri ina matibabu mazuri,hakuna jkt yenye maanga mazuri na bora na mengi yakutosha kuzidi ruvu pale mzee me nimekuwa kuruta kambi mbili mujibu na kujitolea nimeona vizuri,maji hayakatiki pale ruvu wala umeme.
 
Na kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko

Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa

Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Mazingira ndio mabovu mkuu ila Siyo mazoezi jkt hakuna jipya mkuu,me nimekula scale zote mujibu na kujitolea mnashindwa kutofatisha ugumu wa kozi wa mazingira au miundombinu.hakuna kambi ya jkt Tanzania hii iliyokamilika kama ruvu ndio kambi inayoweza kuhold kuruti zaidi laki moja,pale kombania moja mujibu tu inabeba watu kama mia 4 .alafu kombania zaidi ya 5 au 5.kambi ina vyoo vya kumwaga,ndio kambi ya jkt yenye miradi mingi ya uzalishaji mali kuliko kambi zote za jkt,pia wana bustani kubwa na nyingi mno tena long distance kikos Chao ni kikubwa pia kijiografia.
 
Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama

wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .

Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo

Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
Kambi za tanga ndio wapemba wapo wengi alafu wapenda usiwachukulie poa iyo kasumba ondoa Kabisa niulize mimi ninaovua nao baharini jamaa wapo ngangari lafudh isikuchanganye kazi wanazofanya wapenda huku baharini wewe huwezi na tukikuchukua baharini siku Moja usiku ukae tu kwenye ngwanda ya uvuvi kesho hauji tena.
 
Najibu kutokana na sehemu niliyopo mkuu,kama kuna mtu wa PT umu akiwaibia siri pia sio mbaya

kama uliomba UT na umekidhi vigezo muhimu hesabu kwenye pdf umepita

Note: Tutawapuna sana kwenye saili, we only need few candidates to go with
Endelea kutupa Lonja kiongozi,vipi kuhusu idadi inayotakiwa kwa Sasa na itayotoka ya usaili
 
Back
Top Bottom