methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Kwahyo kuna njia nyingine tofauti si ndyoHuwez kuconclude status ya BP ya mtu kwa kutumia "blood pressure reading " moja pekee so hawawez kukujudge kwa hilo pekee kuwa ni unfit kama wanafata nn kinachotakiwa katika taaluma za kitabibu.
Haya waachie tu wataalamu husika. Kama ukiwa unfit watakujua tu boss.Kwahyo kuna njia nyingine tofauti si ndyo
Sawa mkuu nimekuelewaVipimo ndo vile vile sasa
Sawa mkuuHaya waachie tu wataalamu husika. Kama ukiwa unfit watakujua tu boss.
Ngoja wakongwe waje aseeHivi aliyeanzisha huu uzi mwenyewe yupogo wapi?
Hongera aise, kuna koplo mmoja alimtaniaga service man kuwa kombati yake imepauka utasema service man wa mlale. akasema mlale maservice gwanda zao zimesoma kilometer sababu ya kula kazi za shamba muda mwingi. Kuna jamaa yangu alienda malale 2019 anasema mzee hata kwata ameondoka anajua kwa mbali sana , ila shamba ndio kala mzigo wa kutosha.Nilipita pale, asee acha tuu
DAh final kina eskima tumefikiwaππ though juzi bahi pale nimeona traffic mfupi hatari mpaka nikasema me kumbe tall kabisa.
Mwanasiasa huyo kaongea tu bila kufanya utafitiDaa fi
DAh final kina eskima tumefikiwaππ though juzi bahi pale nimeona traffic mfupi hatari mpaka nikasema me kumbe tall kabisa.
chai hyo mkuu,hkuna kitu kama hichoTushaambiwa 28/01 so tushone tutulie[emoji38][emoji38][emoji38]
Mi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. πππ Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefikaπππ tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oyaππππ tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka πππ baada ya dk 5 mnasinzia tena, daahHongera aise, kuna koplo mmoja alimtaniaga service man kuwa kombati yake imepauka utasema service man wa mlale. akasema mlale maservice gwanda zao zimesoma kilometer sababu ya kula kazi za shamba muda mwingi. Kuna jamaa yangu alienda malale 2019 anasema mzee hata kwata ameondoka anajua kwa mbali sana , ila shamba ndio kala mzigo wa kutosha.
Hahahahah dah umenichekesha sana mkuu, ma private walikuwa wengi hapo makusudi maana walijua tu mtasinzia lazima, kwahyo kazi yao ilikuwa kuwashtua kwa mabanzi, bora kwetu watu walikuwa wanapigwa nua, na bado mtu akirud kukaa anasinzia tena daah maisha haya hahahahahaMi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. πππ Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefikaπππ tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oyaππππ tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka πππ baada ya dk 5 mnasinzia tena, daah
Majumba mbali mzee.huyo jamaa anajua kweli umbali kutoka kambini hadi majumba ,go and return
tunayo kitambo mkuu,tunasubir UT hpa
Acha unaa unajua imetoka lini hiyotunayo kitambo mkuu,tunasubir UT hpa
jana mkuu, ama hii mpya??Acha unaa unajua imetoka lini hiyo