Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

According to Police Force and Auxiliary Services act, gazetted officer is the one of the rank of ASP and above......
 
Hata polisi pia ni the same. IGP huvisha nyota kwa niaba ya Raisi. IGP atapeleka majina ya wanaotakiwa kuvishwa nyota kwa Raisi na Raisi atapitisha. Inabid ujiulize why Non Commissioned Officers( NCOs) vinaishia kwa cheo cha Sergeant Major, means above that all wanakuw acknowledged na kupitishwa na Raisi. Pitia the Police Force and auxiliary services Act wameelezea.
 
Nyota moja wa JWTZ anampigia saluti nyota tatu wa Polisi.
 
Raisi kutokuwepo kwenye mafunzo ya nyota moja haimaanishi kuwa basi hawacommission wote. So kwa kuwa Raisi alienda kwenye mahafali ya askari wa uhamiaji na hakwenda CCP basi askari wa uhamiaji wana hadhi kubwa kuliko wengine? Uwepo wa Raisi sehemu fulani huwa determined na ratiba yake ambayo huwa inapangwa mapema kabisa tangu mwaka unaanza unless yeye mwenyewe ndio avunje.

Nyota moja ya polisi kicheo ina hadhi sawa kabisa na nyota moja ya JWTZ. Haiwezi kuondolewa bila Raisi kuridhia.

Mtafute polisi yoyote hata hawa tu waliotoka juzi tu ccp anayejielewa akufundishe kuhusu " salutation" maana wanafundishwa vizur tu.

Am open for any correction.
 
Kaka mwakani muda kama huu nakuona pale makao makuu Dodoma ukitumikia Jeshi
 
Unatambua kua Prof Assad hakutakiwa kutolewa nafasi ya CAG ila JPM alimtoa?Sio kila kitu alichokifanya kilikuwa ndan ya utaratibu.
 
Kaka mwakani muda kama huu nakuona pale makao makuu Dodoma ukitumikia Jeshi
Muda kama huu kiongozi kama utakuw umeenda mafunzoni polisi utakuw bado haujatoka. Kuna mabadiliko ya mtaala course mwaka mzima πŸ˜‚πŸ˜‚ tutajipeleka PT tukikosa kwingine.
 
Muda kama huu kiongozi kama utakuw umeenda mafunzoni polisi utakuw bado haujatoka. Kuna mabadiliko ya mtaala course mwaka mzima πŸ˜‚πŸ˜‚ tutajipeleka PT tukikosa kwingine.
Chief ww utakua UT hapo makao makuu dodoma..
Zile kotazi wanapoishi askari uhamiaji za dodoma aise ni nzuri balaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…