Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Alafu kwanza Magufuli alimteua Meja Jenerali Mzee kuongoza magereza kama adhabu kwa magereza sababu alisema magereza uozo ulikua mwingi which means under normal circumstances asingefanya ivyo.
 
Tupo pamoja mkuu,mungu atabless TU Safari hii
 
Am Happy to hear it
 
Hilo mbona nimeshakujibu kwamba rais hawezi kufanya hivyo sababu hata yeye anajua fika kuwa JWTZ wanaweza kuongoza PT, UT, MT na ZT na si kinyume chake mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti Raisi hawezi, Raisi hawezi??? Raisi aliye mteua Bashiru kua katibu mkuu kiongozi, mtu ambaye hajawahi kua mtumishi wa umma katika serikali alafu Moja kwa Moja akawa katibu mkuu kiongozi πŸ˜‚πŸ˜‚, ivi unaposikia Raisi wa Tanzania ni Mungu mtu unadhani ni utani???
 
Uzi wetu mapolisi na uhamiaji,wanajeshi wamevamia humu wamekuwa wajuaji Sana
Ila ndo vizuri mkuu ata na wale tusiojua vitu tupate mwanga alaf pia me naona inapendeza kuwepo mijadala mbalimbali as long as inahusu vyombo vya Usalama vya nchi yetu, Sasa we ulitaka tukae kila siku kuulizia tu lonja vp?, Pdf lini?, CCp kuna iki na iki?, Vp kuripot unatakiwa nini na nini?. Aah asee uzi si utakuw haunogi.
 
Unamuelewesha mtu ambaye 'anaamini' na sio anayejua!!
 
UT sifahamu ila PT hakuna mtihan mmoja kwa watu wote. Kila mtu atakuw evaluated katika kada yake unless waje na utaratibu mpya labda.
Maafande watoe ,uzoefu wao kwa pande zote wa UT na PT ili kujiandaa kisaikolojia na kufanya maandalizi yanayohitajika kikamilifu
 
UT sifahamu ila PT hakuna mtihan mmoja kwa watu wote. Kila mtu atakuw evaluated katika kada yake unless waje na utaratibu mpya labda.
Asante mzee baba angalau hapo mtu anapata mwanga
 
Hv wakuu kwa wale waliwahi kuomba UT na MT hili swala la leaving certificate limekaaje asee kama hauna, au kuna waliowahi kuitwa na leaving hawakuwa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…