MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Na walioweka transcrpt tu kwa sababu wamemalz chuo mwaka jana na hawajapata vyet tusbr pdf tuone wao watasemaje maan transcript na chet uzito n uleule tu
Labda uniambie betting mkuu hapo sawa, lkn forex hapana sio kweli bali ni elimu ya kutosha inahitajikaNo longer at easy.
Forex, betting ni kuutafuta ufukara kwa nguvu mkuu niamini
upo kwenye pdf mkuu?Wazee tupeni lonja kuhus maswali ya interview za nafasi ya polisi walau tuwe na abc,
Asanteni
Unazungumzia usaili wa mikoani au huu unaosubiriwa humu ndani (fani)Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba
Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ? Mliwaona au ndio zile story
Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia
Watu wanajiponza wenyewe
Ishu ni kuwa Mambo yameshakwisha unataka kuyaibuwa tenaKijana vipi hizo comments umelazimishwa kuzisoma, mbona ni kama zinakuumiza sana, hivi hujaachaga tu kulalamika
We jamaa ujue nimeanza kukuona kumbe hamnazo, we mwaka jana nilikuwa naziona sana comments zako kwenye huu uzi na ule wa Magereza, kipindi unajiita Gpili ulikuwaga unalalamika sana
Katika watu niliokuwa naombea muingie kwenye haya majeshi ni wewe na kina MrGeneous, dean05 na Kunguru wa Manzese maana inaonekana mmepambania sana, wenzio tayari washazama Magereza wewe bado uko hapa unapambana
Lakini badala ya kujadili vitu unavyoona vina faida kwako umekomaa na mengine yasiyokuhusu, huu uzi una lonja za kila aina, wewe chukua kile kinachokuhusu kisichokuhusu achana nacho tu
Wala hakuna aliyesema kwamba majeshi ya mambo ya ndani ni inferior huko ni kujishitukia tu, kila jeshi lina umuhimu wake kwa nafasi yake, sisi hapa tulikuwa tunajadili mambo ya protocol tu, hayo mambo ya heshima sijui maslahi mmeyaleta ninyi, mbona wenzio wengi wanapita kimya wanajadili yanayowahusu tu
Tena kuna wenzio wametoka kusema humu kwamba huu uzi unaweza kuwa unahusu Polisi na Uhamiaji, ila si vibaya watu wakijadili na majeshi mengine maana si kila mtu anataka huko, na ukizingatia vyote ni vyombo vya ulinzi na usalama tu
Halafu cha kushangaza comments zinazokuumiza ni zile zinazohusu JWTZ tu, mbona hadi Magereza na Zimamoto huu uzi hauwahusu ila wanajadiliwa sana humu na hulalamiki chochote, mimi majeshi yote nayakubali tu sijali cha heshima wala maslahi, mimi nasoma lonja za majeshi yote huku nipo na kule Magereza pia nipo, japo sijaomba kokote napenda tu kuyafuatilia
Au wewe TPDF unapapenda ila unaleta mambo ya sizitaki mbichi hizi sababu imeshindikana kuingia, maana nakumbuka mwaka jana ulisema unapenda Jeshi ila mwaka huu umehama mara unapenda Polisi tena FFU, ukikosa na huko sijui utapenda wapi kwingine
Acha kulalamikia kijana
Kaka kingine nikwambie me kokote Kambi sichagui wapi sijui wapi,japo mara nyingi unaweza pata pale usipotegemea sawa kiongozi wangu,muhimu maisha yasonge me majeshi nayapenda Sana japo siweki asilimia zote ndio mana mana kuna jobs kitaa tunapambana nazo hakuna kinachoniumiza bali comments zako humu ndani zimekaa kibishani siyo kuelimisha wenzio,Kijana vipi hizo comments umelazimishwa kuzisoma, mbona ni kama zinakuumiza sana, hivi hujaachaga tu kulalamika
We jamaa ujue nimeanza kukuona kumbe hamnazo, we mwaka jana nilikuwa naziona sana comments zako kwenye huu uzi na ule wa Magereza, kipindi unajiita Gpili ulikuwaga unalalamika sana
Katika watu niliokuwa naombea muingie kwenye haya majeshi ni wewe na kina MrGeneous, dean05 na Kunguru wa Manzese maana inaonekana mmepambania sana, wenzio tayari washazama Magereza wewe bado uko hapa unapambana
Lakini badala ya kujadili vitu unavyoona vina faida kwako umekomaa na mengine yasiyokuhusu, huu uzi una lonja za kila aina, wewe chukua kile kinachokuhusu kisichokuhusu achana nacho tu
Wala hakuna aliyesema kwamba majeshi ya mambo ya ndani ni inferior huko ni kujishitukia tu, kila jeshi lina umuhimu wake kwa nafasi yake, sisi hapa tulikuwa tunajadili mambo ya protocol tu, hayo mambo ya heshima sijui maslahi mmeyaleta ninyi, mbona wenzio wengi wanapita kimya wanajadili yanayowahusu tu
Tena kuna wenzio wametoka kusema humu kwamba huu uzi unaweza kuwa unahusu Polisi na Uhamiaji, ila si vibaya watu wakijadili na majeshi mengine maana si kila mtu anataka huko, na ukizingatia vyote ni vyombo vya ulinzi na usalama tu
Halafu cha kushangaza comments zinazokuumiza ni zile zinazohusu JWTZ tu, mbona hadi Magereza na Zimamoto huu uzi hauwahusu ila wanajadiliwa sana humu na hulalamiki chochote, mimi majeshi yote nayakubali tu sijali cha heshima wala maslahi, mimi nasoma lonja za majeshi yote huku nipo na kule Magereza pia nipo, japo sijaomba kokote napenda tu kuyafuatilia
Au wewe TPDF unapapenda ila unaleta mambo ya sizitaki mbichi hizi sababu imeshindikana kuingia, maana nakumbuka mwaka jana ulisema unapenda Jeshi ila mwaka huu umehama mara unapenda Polisi tena FFU, ukikosa na huko sijui utapenda wapi kwingine
Acha kulalamikia kijana
Usaili wa mkoani .Unazungumzia usaili wa mikoani au huu unaosubiriwa humu ndani (fani)
Hvi kuna mikoa hawajafanya kwani si nilisikia wmefanyaUsaili wa mkoani .
Hakuna hata mmoja uliofanyaHvi kuna mikoa hawajafanya kwani si nilisikia wmefanya
Inaeleweka fata maelekezo wanayokupamkuu formula ya kupata kazi bongo haieleweki, umewahi kujiuliza ww unaye attach vyeti stahiki uko kwenye system??
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa Mlevi MmojaInaeleweka fata maelekezo wanayokupa
Unless otherwise uwe na mtu pengine wakukushika mkono hata ukiharibu
Lonja muhimu.
Mkuu wewe upo chomboni?We endelea kupambana tu Kamanda Mungu atakusaidia, ila humu chukua tu kile kinachokufaa kisichokufaa achana nacho, ndivyo tunavyoishi humu
Hata mimi najua kokote kambi, na wala hakuna sehemu nimesema kwamba jeshi fulani ndio bora, au ukiingia kwenye jeshi fulani ndio utakuwa bora
Kwenye haya majeshi yetu usiangalie sana heshima wala maslahi, maana hizo ni kazi za kizalendo zaidi, ila sisi tulichokuwa tunajadiliana humu ni masuala ya seniority tu kiongozi