Pdf la tamisemi nalo ngumu sn aise,nmeliw kichw mara kibao tuDah inanikumbusha kipindi nasubilia ajira za ualimu tamisemi mwishowe nikala za kichwa hatari sana [emoji2]
Hapana mkuu nimehitimu shahada ya elimu nikiwa na umri wa miaka 23 Jana nimetumiza miaka 30 naona nipo sahihi kujaribu pia na huku mkuuMwaka wa Saba ndugu??😂😂😂 Mbona umri wa kuomba hizi nafasi kama umekupita sasa au ndo tunasukuma mlango ulioandikwa vuta, amini inafunguka
Hapana mkuu nimehitimu shahada ya elimu nikiwa na umri wa miaka 23 Jana nimetumiza miaka 30 naona nipo sahihi kujaribu pia na huku mkuuMwaka wa Saba ndugu??😂😂😂 Mbona umri wa kuomba hizi nafasi kama umekupita sasa au ndo tunasukuma mlango ulioandikwa vuta, amini inafunguka
Inategemea na uwepesi wake kama ni mzito pia ni ngumuvp mbanga level ya brigedia inatoboa
🗑️🗑️🗑️🗑️
Kuna majasusi na mausalama wengi tu wanafanya kazi za ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi..sasa ww endelea kudharau watu🗑️🗑️🗑️🗑️
Kuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]Kuna watu wana ndugu zao Tamisemi na Wizarani tena vitengo haswaa ila kila siku wanalalamika ndugu zao hawawashiki mkono kwenye ajira za ualimu...wakiwacheki wanaaambiwa tu wewe apply tu kama una sifa utapita
Sikutaka kucheka ila hii kali mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu nimeongea na SM yupo deti tanga anamwanae 846KJ wanadai hakuna ronja kama hii, saili zote mkoani.Nawaona vijana wa 846KJ na 847KJ wakitoka kwenye usahili mkoani PT muda mfupi uliopita....!! Kesho zamu ya walio nje ya makambi!!
Kuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
We yaache anashindwa kusema sikusaidiiSikutaka kucheka ila hii kali mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwambie sawaKuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
Kma ulikuwepo [emoji3578]Mwambie sawa
Kikosi gani hiko823 tupo au hatupo
Of course,walipita walikuwa wanatoka mkoani (both SM & SG kwenye magari yao ya jeshi)... Sasa sijui ulielewaje wewe.Mkuu nimeongea na SM yupo deti tanga anamwanae 846KJ wanadai hakuna ronja kama hii, saili zote mkoani.
Msange kjKikosi gani hiko