mr kipengele
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 210
- 620
Unautoto mwingi sana wew dogoYah!! Nilihisi hivyo pia , ila kama ni mtego, angenikataa , asinge ruhusu maongezi zaidi. Maana kabla alishaniambia napaste reply yake hapa Kwa dodoma tumeshachelewa maana muda wowote mtaitwa kwenye usaili na wa huku Zanzibar nao watatangaza waliochaguliwa kwenye usaili wakati wowote
Ni wapi nimesema mimi ni mkubwa?Unautoto mwingi sana wew dogo
Wanachosha Sana watu wa hivoKuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli yaan mbona watu wapo wengi hawana sifa kama hizo ule ujinga tu wa mtu yy mwenyew kujion ashayapatia maishPersonality tu za watu
Sasa huyo si ndio wa kufa nae [emoji16]kuna mbunge kasave namba yangu siku sasa naona status yake acha nishangae,[emoji3578]
Mara nyingi Anayekusaidia ni mtu baki tu sio nduguKuna watu wana ndugu zao Tamisemi na Wizarani tena vitengo haswaa ila kila siku wanalalamika ndugu zao hawawashiki mkono kwenye ajira za ualimu...wakiwacheki wanaaambiwa tu wewe apply tu kama una sifa utapita
Hana makuu adi simu anapokea labda tu awe bize na atakwambia yupo bize umtafute mda fulanSasa huyo si ndio wa kufa nae [emoji16]
Inakuwaga hivyo kwa kweli ndugu wanataka kuonekana wakubwa siku zote na kunyenyekewa kama vile yeye Ndio munguMara nyingi Anayekusaidia ni mtu baki tu sio ndugu
Kabisa mkuu me sina hela sina wadhifa wowote lkn kuna mbunge kasave namba yangu na nawasiliana naye,na kuna jamaa kapata ajira juzi tu hapa hanijibu texts zangu simu hapokei ulimbukeni mkubwa huu kwa kweli.Personality tu za watu
Tena last year baada ya kukosa zile ajira za PT,UT,MP,ZT, aliiniita kuniambia mbna hukuniambia mapema nina watu wangekusaidia ikawa nalaumiwa kwamba nimefanya kosa ningemwambia ningepata akapigiwa mtu mkubwa mmoja nadhani ni RPC au Asp yupo Dodoma Kabisa yule mkubwa aksema kwann hajaomba huku dodoma ningemsaidia angefanikiwa basi akaahidi wakitoa tu tena niombee kwa dodoma.yeye atafanya yake pia bibi aliombwa amtumie soft copy akaye nayo kama akiba ajabu ajira zimetoka ananijibu korahsi we omba tu utapata kwani hata mimi nilienda england bila connection. Kashakuwa kinyonga binadamu bhana wengi hatupendani tumejawa na wivu na unafiki wa hali ya juu.mtu anataka kila siku akuone huko vile vile.majuzi kat kaniita nikamwelekeze mwanaye ishu fulani kama kawaida yangu bibi ni mtani wangu nampiga utani mwingi then namwambia mambo ya connection still ananiambia safari hii utapata kwani hata yeye england alikwenda bila connection .Kuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi sinaga roho kubwa,nikikuona kuwa wewe huna msaada wowote kwenye maisha yangu hasa ndugu waga simchukii,sema namuepuka maana kitakachotokea yeye atakuwa anahitaji msaada Sana kutoka kwangu kwa kifupi Mimi najira kwaajiri yakeTena last year baada ya kukosa zile ajira za PT,UT,MP,ZT, aliiniita kuniambia mbna hukuniambia mapema nina watu wangekusaidia ikawa nalaumiwa kwamba nimefanya kosa ningemwambia ningepata akapigiwa mtu mkubwa mmoja nadhani ni RPC au Asp yupo Dodoma Kabisa yule mkubwa aksema kwann hajaomba huku dodoma ningemsaidia angefanikiwa basi akaahidi wakitoa tu tena niombee kwa dodoma.yeye atafanya yake pia bibi aliombwa amtumie soft copy akaye nayo kama akiba ajabu ajira zimetoka ananijibu korahsi we omba tu utapata kwani hata mimi nilienda england bila connection. Kashakuwa kinyonga binadamu bhana wengi hatupendani tumejawa na wivu na unafiki wa hali ya juu.mtu anataka kila siku akuone huko vile vile.majuzi kat kaniita nikamwelekeze mwanaye ishu fulani kama kawaida yangu bibi ni mtani wangu nampiga utani mwingi then namwambia mambo ya connection still ananiambia safari hii utapata kwani hata yeye england alikwenda bila connection .
Lonja Kali sana .......today is today and the day after today will be todayToday is hard, tomorrow will be worse, but the day after tomorrow will be sunshine.
Kwa lolote litakalotokea Today, Tomorrow, Never Ever Give Up Comrades, Life is full of suprises.
Polisi wametisha safari hii wamewahi sana...haya kina mfwende kazi kwenuMajina haya hapa
hahaaaPolisi wametisha safari hii wamewahi sana...haya kina mfwende kazi kwenu