Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mwaka huu Degree holders wamekuwa wengi zaidi kwenye proffesionals compared to mwaka jana. Nayaona mageuzi ndani ya Jeshi letu ila on the other hand ajira zinawafanya watu kukimbilia huku baada ya kukosa uraiani.

Kuna kada naona mdada yuko mmoja...huyo ni tayar kashapita 😂😂haina haja ya kutumia nguvu
 
Kada gan hyo...inaaambatana na maelekezo hyo 😅
 
Nimeona RADILOGY_Degree kuna Mwamba mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…