Pole kamanda, UT ikawe heri.
makamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
bdo na roburobu mkuuMzee mfwende vp uelekeo CCP ama UT
Thank u champPole kamanda, UT ikawe heri.
Hahahahahaha hatareee sema nasikia mt inapenda kuchukua hata op za nyuma haichagui
Na UT ndio pagumu zaidi sasaPole kamanda, UT ikawe heri.
Hahaha amekuhakikishiaJamaa wa ikulu kaupiga mwingi saana View attachment 2484521
bongo hii pote ni pamotooKama huna watu ...utachukia dunia 😅
Na UT ndio pagumu zaidi sasa
Yani sio poaabongo hii pote ni pamotoo
Kada gan hyo...inaaambatana na maelekezo hyo 😅Mwaka huu Degree holders wamekuwa wengi zaidi kwenye proffesionals compared to mwaka jana. Nayaona mageuzi ndani ya Jeshi letu ila on the other hand ajira zinawafanya watu kukimbilia huku baada ya kukosa uraiani.
Kuna kada naona mdada yuko mmoja...huyo ni tayar kashapita 😂😂haina haja ya kutumia nguvu
saiz nawasubir ,wacheza ngoma kwenye page yao ya instagram wataamua niniYani sio poaa
Inamaana ni op muungano kabla ya op kikwete auOperation miaka 50 ya muungano kiongoz
WAcheza ngoma nao huwa ni wanaaaa waleee...kwenye kuajirisaiz nawasubir ,wacheza ngoma kwenye page yao ya instagram wataamua nini
Kaka acha tu utasikia kwa wenzako tu, wahuni nao jau wanakazaKama huna watu ...utachukia dunia 😅
Nimeona RADILOGY_Degree kuna Mwamba mmoja tuMwaka huu Degree holders wamekuwa wengi zaidi kwenye proffesionals compared to mwaka jana. Nayaona mageuzi ndani ya Jeshi letu ila on the other hand ajira zinawafanya watu kukimbilia huku baada ya kukosa uraiani.
Kuna kada naona mdada yuko mmoja...huyo ni tayar kashapita [emoji23][emoji23]haina haja ya kutumia nguvu
Kaanza na fire kesho kila kitu kipo onHahaha amekuhakikishia
Optometry pia , Forensic Degree , kikosi afya madaktari mdada yupo mmoja ashapita huyo nayyNimeona RADILOGY_Degree kuna Mwamba mmoja tu
2ko wengi kaka we acha tuNimepigwa ndoige mbaya sana kudadek.