Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jamaa wa ikulu kaupiga mwingi saana
IMG_20230111_090012.jpg
 
Mwaka huu Degree holders wamekuwa wengi zaidi kwenye proffesionals compared to mwaka jana. Nayaona mageuzi ndani ya Jeshi letu ila on the other hand ajira zinawafanya watu kukimbilia huku baada ya kukosa uraiani.

Kuna kada naona mdada yuko mmoja...huyo ni tayar kashapita 😂😂haina haja ya kutumia nguvu
 
Kada gan hyo...inaaambatana na maelekezo hyo 😅
 
Mwaka huu Degree holders wamekuwa wengi zaidi kwenye proffesionals compared to mwaka jana. Nayaona mageuzi ndani ya Jeshi letu ila on the other hand ajira zinawafanya watu kukimbilia huku baada ya kukosa uraiani.

Kuna kada naona mdada yuko mmoja...huyo ni tayar kashapita [emoji23][emoji23]haina haja ya kutumia nguvu
Nimeona RADILOGY_Degree kuna Mwamba mmoja tu
 
Back
Top Bottom