hahaaa ,K.O matata ya kwanza hio ,ngumi ndoige toka PT , ngoja nisubiri UT
yaani huko utajutia kuajiriwa tena kama hauna passion nao ndio kabisaOmbeni magereza nyinyi watu msihi dharau
hata zimamoto ilikua hvoo nadhaniSasa magereza si wameweka ukomo wa kidato Cha nne elimu mwisho
Utajutia kama hujala msoto wa kitaa jua linavowaka, huna mtaji, plus huna channel yoyote then upate kimungumungu alafu ujutie? ???!!!!!!yaani huko utajutia kuajiriwa tena kama hauna passion nao ndio kabisa
Magereza kuna nini ambacho kitamfanya ajute?yaani huko utajutia kuajiriwa tena kama hauna passion nao ndio kabisa
hapa unaponiona familia na mpenzi wangu wnanitegemea kama ilivo kwa wengi wetu. nina mjomba yupo huko yemwenyewe hakushauri kuingia MT. na ndio jeshi pekee zoa zoa pasipo conection .omba utapata mkuu halina kona konaUtajutia kama hujala msoto wa kitaa jua linavowaka, huna mtaji, plus huna channel yoyote then upate kimungumungu alafu ujutie? ???!!!!!!
mkuu wangu hao MT ndani ya MOHA wamesahaurika sana, mazingira ya kazi ni magumu sana ,afadhali uwe afsa, hawa wa chini utasota na wafungwa mpaka uchakae.Magereza kuna nini ambacho kitamfanya ajute?
Maana kazi yoyote ile bila passion lazima utaiona ngumu.
kwanini luteni?Ng'ombe wa maskini kweli hazai nimeamini .......
Yahn January hii na msoto huu mkali nipo nao 55k umepotea hata kunistua tena mazingira hata siyaelewi.
Imeniuma sana
Mkuu unanifurahisha et utasota na wafungwa mpaka uchakaemkuu wangu hao MT ndani ya MOHA wamesahaurika sana, mazingira ya kazi ni magumu sana ,afadhali uwe afsa, hawa wa chini utasota na wafungwa mpaka uchakae.
Hali ishakuwa mbaya mno siku nyingi ,ni vile bado tu hatujaanza kutengeneza criminal cartels kama za Kule Nigeria au Mexico , hahaaaa mhalifu msomi mwenye masters na Phd ,nenda Lagos ndio utajua , wapo lundo . Mpaka serikali imewainulia mikono , matapeli grade one wapo pale ,mpaka wazungu wa Australia huko wanalizwa na hao miamba ,noma cheki hiiDaah nimeangalia hio list nimeona degree za kushiba nyingi
Hivi mpka madaktari wana tatizo la ajira kiasi hichi
Hii nchi hii hatari sana
Kipindi kile watu wenye fani ya udaktari walikuwa wanataka waende nje kuna nchi zilikuwa zinawahitaji nishasahau ulikuwa muhula wa nani wakawekewa vikwazo wakawazuia
Halafu sasa wakibaki nyumbani wakiwa wazalendo kuwaajiri changamoto .
Mungu awasaidie kwakweli huko tunapoenda hali itazidi kuwa mbaya
Tutakuwa kama Nigeria [emoji16] ... Tutakuwa na Yahoo boys na Sisi
X monster ...Something like that Tutaftanekwa mtu mmoja tu lakin jina lako likionekana pdf ya PT ni pm!
omba mkuu kuliko kupigika kitaa,ukipata fungua moyo kafanye kazi. wengi humu akiwemo kunguru wa manzese walikuja kukimbilia magereza baada ya kupigika vibaya na majeshi mengine, MT ni last choice kwa watafutaji wa majeshimfwende mkuu hebu nipe ya ndani kuhusu MT maana sasa kama hali yenyewe ndo hii umri unaenda bado vyombo vingine vinatupita, , , , , inamaqna magereza hakuna maslahi au ni vp
Nakuelewa mkuu lakini naona point zako mkuu hazitaki kabisa kwenda huko, kuna nini haswa mkuu ndo nataka kujua unifumbueomba mkuu kuliko kupigika kitaa,ukipata fungua moyo kafanye kazi. wengi humu akiwemo kunguru wa manzese walikuja kukimbilia magereza baada ya kupigika vibaya na majeshi mengine, MT ni last choice kwa watafutaji wa majeshi
Huko siezi achaaaOmbeni magereza nyinyi watu msihi dharau
unaona kizungu zungu mkuuMbona mm cjaelewa kwani haya majina si jeneral ya wale wote walioapply PT ....?, Mbona kuna mtu anasema huu ni usaili wa mikoani
Huko ambako yeye anashauri sio pazuri mwambie anifanyie makeke mimi nizameeehapa unaponiona familia na mpenzi wangu wnanitegemea kama ilivo kwa wengi wetu. nina mjomba yupo huko yemwenyewe hakushauri kuingia MT. na ndio jeshi pekee zoa zoa pasipo conection .omba utapata mkuu halina kona kona