Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Utajutia kama hujala msoto wa kitaa jua linavowaka, huna mtaji, plus huna channel yoyote then upate kimungumungu alafu ujutie? ???!!!!!!
hapa unaponiona familia na mpenzi wangu wnanitegemea kama ilivo kwa wengi wetu. nina mjomba yupo huko yemwenyewe hakushauri kuingia MT. na ndio jeshi pekee zoa zoa pasipo conection .omba utapata mkuu halina kona kona
 
Daah nimeangalia hio list nimeona degree za kushiba nyingi

Hivi mpka madaktari wana tatizo la ajira kiasi hichi

Hii nchi hii hatari sana

Kipindi kile watu wenye fani ya udaktari walikuwa wanataka waende nje kuna nchi zilikuwa zinawahitaji nishasahau ulikuwa muhula wa nani wakawekewa vikwazo wakawazuia

Halafu sasa wakibaki nyumbani wakiwa wazalendo kuwaajiri changamoto .

Mungu awasaidie kwakweli huko tunapoenda hali itazidi kuwa mbaya

Tutakuwa kama Nigeria [emoji16] ... Tutakuwa na Yahoo boys na Sisi
Hali ishakuwa mbaya mno siku nyingi ,ni vile bado tu hatujaanza kutengeneza criminal cartels kama za Kule Nigeria au Mexico , hahaaaa mhalifu msomi mwenye masters na Phd ,nenda Lagos ndio utajua , wapo lundo . Mpaka serikali imewainulia mikono , matapeli grade one wapo pale ,mpaka wazungu wa Australia huko wanalizwa na hao miamba ,noma cheki hii
 
mfwende mkuu hebu nipe ya ndani kuhusu MT maana sasa kama hali yenyewe ndo hii umri unaenda bado vyombo vingine vinatupita, , , , , inamaqna magereza hakuna maslahi au ni vp
omba mkuu kuliko kupigika kitaa,ukipata fungua moyo kafanye kazi. wengi humu akiwemo kunguru wa manzese walikuja kukimbilia magereza baada ya kupigika vibaya na majeshi mengine, MT ni last choice kwa watafutaji wa majeshi
 
Nakuelewa mkuu lakini naona point zako mkuu hazitaki kabisa kwenda huko, kuna nini haswa mkuu ndo nataka kujua unifumbue
 
hapa unaponiona familia na mpenzi wangu wnanitegemea kama ilivo kwa wengi wetu. nina mjomba yupo huko yemwenyewe hakushauri kuingia MT. na ndio jeshi pekee zoa zoa pasipo conection .omba utapata mkuu halina kona kona
Huko ambako yeye anashauri sio pazuri mwambie anifanyie makeke mimi nizameee
 
Back
Top Bottom