Okay, all the best!!Mi sijatokea mpaka niitwe ccp
That's what's up my man🤛Okay, all the best!!
Wapo wengi wanafuatilia ila hawajajiungaWe umejiunga Leo alafu unasema ulikua una ufuatiliaga kitambo
Oliver Tambo....kiongozi wa ANCJamaa wa ikulu kupost picha yupo uwanja wa ndege sijajua ni uwanja gan ila nimeona neno kama "OLIVA TEMBO airport " sasa ole wake nikose nafasi hizi na aliniambia hata barua nisiandike
Asante sana mkuuPole mkuu. Nilitamani sana upite
KilimoKuna ma afisa mifugo , afisa kilimo watu wa misitu watu wa afya nakadhalika
Na wote wana application ndani ya jeshi hilo hadi walimu maana wana shule zao
Acheni hizi dharau jamani hili jeshi limebadilishwa kiasi kikubwa
Linajitegemea ,lina miradi na viwanda mbalimbali
Na watu wanasoma vizuri sana
Na upandaji wao wa vyeo upoje mkuuKilimo
Afya
Uhasibu
Ugavi
TEHAMA/Mawasiliano
Mifugo
Ujenzi
Misitu
Sheria
Ukadiriaji Majengo
Usanifu majengo
Ufundi_Bomba,Uashi,Magari,Nguo,viatu,seremala
Upimaji wa Ardhi
Music
Elimu
Takwimu
Mazingira
Hizi ni baadhi tu ya Fani na zipo ndani ya MT sio kila mtu anahangaika Genge la Wafungwa na mwisho kuwa na genge ni SGT au SSGT kwa baadhi ya maeneo
Genge utahangaika nalo ukiwa Warder/Wardress, CPL na SGT hapa na sio wote maana Genge zina wakongwe wake wakazi kabisa na ndio shughuli zao za kila siku kwenda Bustani,Shambani kiwandani na Hospital kwa mahabusu au Wafungwa wanaolazwa na mahakamani (escort) kwa mikoa wanaofanya huduma za mahakama!!
The rest utapiga shughuli za kawaida tu Ulinzi ndio nyingi na Guard ni masaa ma4 kwa siku unaingia mara mbili!!!
Watu hawana njaa kabisa ila njaa ikikupiga haswa kama Kaka angu ambae ndio kanilea sana huko MT utaona tu sio pabaya!! (Japo Mwanzo aliweka ngumu sana kwenda hadi familia tukamshauri kapigiwa pande huko Tabora 2009 hiyo akavunga et anaumwa macho)
Sahv anachekelea tu Mhasibu huko Gereza moja Kanda ya ziwa ni SP!!
Angalia jina na force numberweka evidence mkuu?
Haka kajamaa Kila kitu kanajua yeye 😂😂😂 ni kazi sanaHizo ni kada za kawaida nilimaanisha zile kada za kipekee mkuu
Anyway mimi sijalidharau ila ni kutokana na wenyewe askari wa hilo jeshi wanavyosema, maana nimeishi nao jirani sana Mbeya maaskari pamoja na wachezaji wa timu ya Prisons, baadhi ni washikaji zangu sana
Wanasema labda uwe afisa kidogo afadhali ila kwao hakuna vitengo vingi vya kujiongezea pesa kama Polisi na Uhamiaji kule ni kawaida tu
Sas si ushasema askari na mfungwa!! Huo ndio utofauti waoAskari magereza na mfungwa hawana tofauti mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haka kajamaa Kila kitu kanajua yeye [emoji23][emoji23][emoji23] ni kazi sana
nishakucheki mkuuNjoo PM
Upo na maelekezo mazito endelea kuishi humowakuu nimechaguliwa kikosi cha mbwa na farasi lakini diploma iliyojazwa ni tofauti na ambayo nilioombea
Naona hizi ndio zilikua za uchaguziWazee tusikate tamaa naamini majeshi yanakuja tena 2024 kwa ajili ya uchaguz
Kwa hio mkuu 2024 hawatokuja tena mbona km mm naskia kila mwaka atatoaNaona hizi ndio zilikua za uchaguzi
Tusubiri tuone chiefKwa hio mkuu 2024 hawatokuja tena mbona km mm naskia kila mwaka atatoa