SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
2024 ni mbali mkuu khaaWazee tusikate tamaa naamini majeshi yanakuja tena 2024 kwa ajili ya uchaguz
2024 ni mbali mkuu khaa
Vingine Kaka ,jifunze kukaa kimya halafu wafikishie wahusika wkt muafika ukifika sio vya kuweka kwny hadhira wanaweza kuku maki na kukuondoa kwny list yaoDiploma ya Veterinary laboratory Technology na wameniweka kwenye animal health and production
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nchi ngumu hii ukiwa not shortlisted kisanga na ukiwa shortlisted kisanga pia, haswa ukiwa huna mbanga,,, boss kashiriki hiyo hatua uthubutu una nguvu sana na matumaini kuliko kutoenda kbs,Wakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree[emoji23] nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
Na sisi tunaendelea kuzeekaMbali kivip chief na watu wanaendelea kustaafu
Usimuogopeshe ni kitu cha kawaida tu hicho. Ni error tu imetokea na still amesomea kitu ambacho bado kinamfanya kuwepo kikosi cha dogs and horse.Vingine Kaka ,jifunze kukaa kimya halafu wafikishie wahusika wkt muafika ukifika sio vya kuweka kwny hadhira wanaweza kuku maki na kukuondoa kwny list wakikumaki
Mbona Tangazo like wazi, utajigharamia katika hatua zote za usaili. Kama wewe ni Serengeti njoo PM mambo madogo tu ayaWakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree😂 nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
Hawa itakuwa walituma Mara mbili maombi kwenye email maana nahic walikua wanacopy na kupaste yaliyotumwa kupitia kiambatanisho BAngalia jina na force number
88&89
334&335
370&371
406&407
528&529
577&578
na mengine yapo
Upo sahihi.Hawa itakuwa walituma Mara mbili maombi kwenye email maana nahic walikua wanacopy na kupaste yaliyotumwa kupitia kiambatanisho B
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, kutuna marambili sio sababu!!Hawa itakuwa walituma Mara mbili maombi kwenye email maana nahic walikua wanacopy na kupaste yaliyotumwa kupitia kiambatanisho B
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upo sama bado, hata usiwe na shaka.. wakuu watalishughulikia huko huko ukifika!!Diploma ya Veterinary laboratory Technology na wameniweka kwenye animal health and production
Errors tu hizoHapana, kutuna marambili sio sababu!!
Toa sababuHapana, kutuna marambili sio sababu!!
Mzee nenda usiogope kuchoma nauli...Wakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree😂 nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
Omba magereza mkuuSas si ushasema askari na mfungwa!! Huo ndio utofauti wao