Ila nadhan wiki hii hii watatoaNgoma coy bado hawajaachia pdf tu?washushe tujue moja
Eti ngoma coy 😅😅😅Ngoma coy bado hawajaachia pdf tu?washushe tujue moja
Naomba connection ya Tiss mkuuKama unasemea hii kambi ya usalama wa taifa washaanza course mkuu, au na hapa nitaonekana mjuaji, fuatilia leta mrejesho
Ongea na jamaa wa ikuluNaomba connection ya Tiss mkuu
Daaah 😅Naomba connection ya Tiss mkuu
We unabishana hata ukielekezwa una kaza fuvuJF ukiongea ukweli unaonekana mjuaji
Walikua na jambo gani mkuuHii ni taarifa na sio lonja!!
Mbweni JKT, wale watu walikuwa na jambo lao!!
Tunaendelea kufuatilia movement zao kwa ukaribu zaidi.
Nenda itajulikana hukohukoHabari za muda wana jamvi. Me nimepata bahati ya kuona jina kwenye pdf ila changamoto ni kwamb f namba yangu kapewa mtu aliopojuu yangu na me ni bachelor ila wameniandikia diploma. Hii imekaaje niende usail ama nikaushe.msaada plz
Shukran kiongozi
Mshkaji wangu alituma mara nne na katokea mara moja!!
Naongelea usaili unaoendelea wa JW...Kama unasemea hii kambi ya usalama wa taifa washaanza course mkuu, au na hapa nitaonekana mjuaji, fuatilia leta mrejesho
Nenda.Habari za muda wana jamvi. Me nimepata bahati ya kuona jina kwenye pdf ila changamoto ni kwamb f namba yangu kapewa mtu aliopojuu yangu na me ni bachelor ila wameniandikia diploma. Hii imekaaje niende usail ama nikaushe.msaada plz
.Nyie ndio mnatuzibia riziki kila mahala jina lipo [emoji3]
Usaili Tpdf
Mtu huna channel hata ya kuzama Garda World...sasa ya JW utatolea wapiii kama kaka yangu methodinho
Usaili unafanyika huko?Usaili Tpdf
Usaili JW ushaanza?Usaili Tpdf
NENDA TENA KIMBIAHabari za muda wana jamvi. Me nimepata bahati ya kuona jina kwenye pdf ila changamoto ni kwamb f namba yangu kapewa mtu aliopojuu yangu na me ni bachelor ila wameniandikia diploma. Hii imekaaje niende usail ama nikaushe.msaada plz
Connection na mibuyu haitokei tu ni matter of kutengeneza mazingira....ishi na watu vizuriMtu huna channel hata ya kuzama Garda World...sasa ya JW utatolea wapiii kama kaka yangu methodinho