Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama unasemea hii kambi ya usalama wa taifa washaanza course mkuu, au na hapa nitaonekana mjuaji, fuatilia leta mrejesho
Naongelea usaili unaoendelea wa JW...
Lakini conclusion yako nzuri.
 
Habari za muda wana jamvi. Me nimepata bahati ya kuona jina kwenye pdf ila changamoto ni kwamb f namba yangu kapewa mtu aliopojuu yangu na me ni bachelor ila wameniandikia diploma. Hii imekaaje niende usail ama nikaushe.msaada plz
Nenda.
 
Back
Top Bottom