Safi sanaKwa mtu mmoja ambae Hana mwenyeji DSM atakuja kwenye usaili ambae Hana namna kabisa ya sehemu pa kufikia nitamuaccomodate( malazi) kwa siku zote za usaili anipm ila awe wa kiume na awe tu muungwana.
Shukrani sana mkuu, barikiwaKama una midevu na minywele mingi nyoa, nenda ukiwa smart, jua mambo ya polisi kidogo kama vyeo vya polisi,kamisheni za polisi, majina ya ma IGP, kazi mama za polisi. Ila uwe na jibu la hili swali pia " Kwa nini wakuajiri wewe kuingia ndani ya jeshi la polisi"
Kila la kheri champion,hakikisha unajiongeza kutafuta wakukubeba apo unapoeenda pia uwe mnaa jiongeze ujifanye wewe ndio senior kuwapanga wenzio na kuwaamrisha salamu ,na chenja .mungu atakusaidia utapataNimepigiwa simu PT Tabora wakuu,
Naambiwa tarehe 24 niende kwenye usahili
TUpeane hints
Ujue majukumu ya. IGP,RPC,CDF na virefu pia majina yao majukumu ya police.muhinu uwe mnaa kama nilivyokwambia nije u senior sifa wepesiNimepigiwa simu PT Tabora wakuu,
Naambiwa tarehe 24 niende kwenye usahili
TUpeane hints
Shukran sana mkuu tuzidi kuombeana sote, tuweze kupeleka msosi mezaniKila la kheri champion,hakikisha unajiongeza kutafuta wakukubeba apo unapoeenda pia uwe mnaa jiongeze ujifanye wewe ndio senior kuwapanga wenzio na kuwaamrisha salamu ,na chenja .mungu atakusaidia utapata
AmiiinShukran sana mkuu tuzidi kuombeana sote, tuweze kupeleka msosi mezani
Watu hawaelewi, umakuta mtu yupo Dar au Dodoma eti anahuzunika kutochaguliwa. Kwa wakazi wa Dom na Dar hata kuapply huwa wanajisumbua tu, ni kusubiri tatehe usika ya usaili unatimba na vyeti vyako na kazi unapewaHahaha umenikumbusha mbali sana mzee hii njia niliwahi tumia na mpaka Leo nimepata kazi dah mungu huyu ni mwema Sana
😂😅 Yani niache kunywa madesa nipambane kutafuta reply yako, ebu kua seriousSi unaona sasa, naomba kaquote huo mstari niliosema hivyo mkuu, vinginevyo acha kukurupuka
😂Umesahau kuweka na emojis za kukucheka. That means vice versa is trueSiyo wewe uliesema haka kajamaa kila kitu kanajua yeye
Waungwana wachache wa JF ,Shukurani mkuuKwa mtu mmoja ambae Hana mwenyeji DSM atakuja kwenye usaili ambae Hana namna kabisa ya sehemu pa kufikia nitamuaccomodate( malazi) kwa siku zote za usaili anipm ila awe wa kiume na awe tu muungwana.
Jeshi halieleweki ukileta ujuaji pia sometimes wana kuweka kandoUjue majukumu ya. IGP,RPC,CDF na virefu pia majina yao majukumu ya police.muhinu uwe mnaa kama nilivyokwambia nije u senior sifa wepesi
Aka kajamaa kanijifanya "much know" sana
Mungu ni wa kwetu sote kaka.Pambaneni ndugu zangu mliochaguliwa mungu atawasaidia kila hatua mtangulizeni mungu ,sisi ngoja tukomae na mishe mishe za mtaani kama mungu akibless tutajakuwa pamoja [emoji3578][emoji120]
Mungu ni wa kwetu sote kaka.Pambaneni ndugu zangu mliochaguliwa mungu atawasaidia kila hatua mtangulizeni mungu ,sisi ngoja tukomae na mishe mishe za mtaani kama mungu akibless tutajakuwa pamoja [emoji3578][emoji120]
Changamoto ya mtaani unakua na muda wotee Ila ka capital ndo shida. Ukiingia chomboni ni rahisi kupata capital Ila sasa muda ndo unakua hunaPambaneni ndugu zangu mliochaguliwa mungu atawasaidia kila hatua mtangulizeni mungu ,sisi ngoja tukomae na mishe mishe za mtaani kama mungu akibless tutajakuwa pamoja [emoji3578][emoji120]