Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Safi sanaKwa mtu mmoja ambae Hana mwenyeji DSM atakuja kwenye usaili ambae Hana namna kabisa ya sehemu pa kufikia nitamuaccomodate( malazi) kwa siku zote za usaili anipm ila awe wa kiume na awe tu muungwana.