Kweli kaka tuanze kupigania tenaNimesikia lonja watakuja tena sijajua ni UT au PT ila wanakuja tena
Pambania kombe la JW pia mzee...Nimesikia lonja watakuja tena sijajua ni UT au PT ila wanakuja tena
Nimesikia lonja watakuja tena sijajua ni UT au PT ila wanakuja tena
Hivi JW wao wanatangaza liniPambania kombe la JW pia mzee...
Ile Takukuru inaniuma mpk leoIla Bora tena wakukate mapema kuliko kukatwa mwishoni[emoji28][emoji28][emoji28]... Nikikumbuka usahili wa TAKUKURU nilifika mpaka oral Ila mwishoni nikapigwa ndoige iliyochanganywa na sugunyoo.
Nimesikia lonja watakuja tena sijajua ni UT au PT ila wanakuja tena
JW uraiani labda kwa vigezo special Sana ambavyo makambini havipatikani kwa wepesi lkn makambini Kuna vijana wengi na hata ikitokea kwa kuwa Kuna operation 1 tu vijana wengi wakapata fursa kwenye vyombo vya mambo ya ndani wikihitajika zaidi zipo operation kadhaa za kujitolea walirudi nyumbani nafikiri wao ndio watakaopewa kipaumbele na si raia pure au mujibu wa sheria.Pambania kombe la JW pia mzee...
Umeskia sahihiNimesikia lonja watakuja tena sijajua ni UT au PT ila wanakuja tena
We banaa, ulikua unakaza fuvu cjui Raisi haez fanya hiki sijui kwasababu hii na hii. Una kazi sana nduguBasi acha kukurupuka hakuna sehemu nimesema hivo
🗑️According to you
Sina mtu my wauhakika mkuu.ndio mana nabaki kuwa mtazamaji tuPambania kombe la JW pia mzee...
Sidhan kama wanatangaza hawaHivi JW wao wanatangaza lini
Sifa mbanga tu wa kukuingiza hukoKwa
JW uraiani labda kwa vigezo special Sana ambavyo makambini havipatikani kwa wepesi lkn makambini Kuna vijana wengi na hata ikitokea kwa kuwa Kuna operation 1 tu vijana wengi wakapata fursa kwenye vyombo vya mambo ya ndani wikihitajika zaidi zipo operation kadhaa za kujitolea walirudi nyumbani nafikiri wao ndio watakaopewa kipaumbele na si raia pure au mujibu wa sheria.
Hawa nao wanakujaIle Takukuru inaniuma mpk leo
Kila la kheri kakaNimepigiwa simu PT Tabora wakuu,
Naambiwa tarehe 24 niende kwenye usahili
TUpeane hints
Naam safi sana tena ingependeza kama mtu unajua unaweza msaidia mtu mmoja mmoja kama hivi mwenyeji wa mkoa husika tungesaidiana.Kwa mtu mmoja ambae Hana mwenyeji DSM atakuja kwenye usaili ambae Hana namna kabisa ya sehemu pa kufikia nitamuaccomodate( malazi) kwa siku zote za usaili anipm ila awe wa kiume na awe tu muungwana.