Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sema watu ni wajinga baada ya kupata mtu anabadilika mazim na mm nnao hao mtu unamuuliz anakujib ndio, Ana majibu mafupi kabisa cjui ndio tabia gani
 
mkuu kama uko UT vile, shukran sana afsa
 
Kwani forensic ndo Nini wanajf
 
Ronja za forensic wakuu
1.Definition ya Forensic science?
2.How do u think ur proffesion can help in solving criminal issues within the police force.
3. Tanzania Forensic Bureau encompasses which proffessions/ experts?( know at least 5)
4. Responsibilities of the Forensic Bureau and the police in general.

Kama umechaguliwa hili chimbo kutoboa chap tu....akili yako tu.
 
Shukuran sanaa
 
Hili chaka bro linavutia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha ni tamu kuzidi mapenzi. Karibu πŸ˜‚
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wakumbushe vijana wa PT kuwa siku ya kwanza ya usaili kuna wengine watakatwa baada ya vipimo vya afya, uhakiki wa vyeti na umri, urefu na utimamu wa mwili. So vijana wamuombe Mungu watoboe wakale course CCP
 
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wakumbushe vijana wa PT kuwa siku ya kwanza ya usaili kuna wengine watakatwa baada ya vipimo vya afya, uhakiki wa vyeti na umri, urefu na utimamu wa mwili. So vijana wamuombe Mungu watoboe wakale course CCP
Haya vijana lonja muhimu tumeshawapa. Nawatakia usaili mwema tu. Nitakaa kusubiri update mtakaopita tuwape lonja za kuishi CCP.

Usaili mwema kwa wote, PT na UT.
Mungu awatangulie.

Kijana Mfwende I see u in dark blue uniform. All the best. Let's meet at the top.
 
Ningeomba tu ningepata anyway msata kukigoma poti next intake npo Ccp pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…