Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ahsante sana Afsa,ubarikiwe.
 
Nahisi hata sisi wahasibu wanaweza leta mtindo huu au unasemaje boss
 
Mkuu siku ya usaili nenda kama muda na pesa unayo. Watu wa Dar hawatumii gharama nyingi kwenye nauli na waliopo Dom kwenye usaili wa uhamiaji pia hawatumii gharama kubwa. Nenda kafanye usaili ndugu, utakuja kunishukuru bade
Kaka huwa kuna uhakiki kabla ya kuingia ndani ,kama jina lako halipo kwa wasailiwa inaweza leta shida kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…