MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Uhakiki vyeti, kupima urefu na kukagua mwili.Mmepigwa interview au ilikuwa na vipimo tu
Nyomi ilikuaje mwamba?Uhakiki vyeti, kupima urefu na kukagua mwili.
jah bless champNajikubali mkuu, nimeingia pale nimetumbuiza vizuri.
Wamenipima wamekuta 5'3.
Sasa ni wakati wa kusaka mbuyu niupe pesa ya sensa yote.
Shukran champ.jah bless champ
Nyomi la hatari, kuna mkoa X huko , wale jkt wa vikosini imebidi wapelekwe wakale usaili Musoma, maana Raia ni wengi hatarNyomi ilikuaje mwamba?
Tubasubiri wale waliopo interview waje na mrejeshouzi umepoa
Noma sanaNyomi la hatari, kuna mkoa X huko , wale jkt wa vikosini imebidi wapelekwe wakale usaili Musoma, maana Raia ni wengi hatar
Ukiona hivyo vijana wameanza kuiva [emoji2][emoji2][emoji2]Naona leo ngoma ngum wadau,kimya kimetalawa
Forensic naona wamechukua kada tofaut tofaut do huend wameona Kuna sehem watawafaaOy yule mwanangu wa maswala ya art amechaguliwa forencic huko. Sijui ikoje hii
OkForensic naona wamechukua kada tofaut tofaut do huend wameona Kuna sehem watawafaa
NimekuPMAjira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Daah tunashukuru, atokee hata wa Polisi mmoja anishike mkono[emoji120]Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Daah Mungu Akubariki Sana BossAjira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Vijana wameiva kweli😄Ukiona hivyo vijana wameanza kuiva [emoji2][emoji2][emoji2]