Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daah Ubarikiwe sana kiongozi naimani wangetokea na watu wa sehemu mbalimbali kama PT,MT,UT,ZM na JW ingependeza sana.
 
Hongereni mapoti mliopo kwenye usahili, Mungu atawapigania Inshallah.... Nmeona hii video nkacheka sana nkacheka sana [emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Champs
Kuna mdogo angu anaingia kwenye oral interview ya pt huko mkoani...

Ukiachana na maelekezo ya juu kama kutembea kwa ukakamavu, kuitika kwa nguvu, kukabidhi vyeti kijeshi....

Ni unaa gani mwingine aufanye kujihakikishia kajina kwenye pdf maana sisi hatuna mbuyu 😃😃

Kwanza wamekuwa shortlisted wako 147 tu 😃😃
 
Yaani wameshortlist usaili wa kwanza tu?
 
😂😂New Member
 
Mungu akubariki Sana mkuu
 
m
msaidie ndugu yangu monster
 
Habarini wakuuu vp kwema, mambo yanakwendaje sikuwepo kabisa aseee nilikuwa sehemu network hamna ila nimerudi kundini wakuuu....vp kuna nini kinaendelea, maana pt sikuomba, ila ut wamenipiga chini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…